Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Nashangaa hata chuo Cha afya Muhimbili kinapaleka madactari bingwa kwenda kusoma nchini India hali wanakujua hakuna ubingwa wanaupata kule.
Nimefanya kazi na hao watu, ukisikia mtu kasomq udaktqri , Ufamasia, unesi etc jua hakuna kitu, India ni business Oriented mind , hakuna ku feli kule… utafaulishwa hata kama hutaki…… wanajua hufanyi kazi kwao utarudi kwenu

I can guarantee mtu aliyesoma Udaktar , Unesi na Ufamasia hapo MUHAS au CUHAS than any body who perused his degree in India , NEVER NEVER NEVER I say never
 
Mkuu umeongea vizur sana...

Huku kuna watu wanataka wote tuzame kwenye box la kukubali matokeo..

Watu sio ngombe kwamba wanakufa tu...

Mtu anakufa tena kiongozi mkubwa tu mnapewa habari za jumla jumla .
Wanaohisi nao wanajiongeza kutangaza yakwao...

Viongozi wa Tanzania nao wanafurahi wakisikia ugonjwa ni siri.... Bila kujali kuwa there is no exceptions in life..

Hakuna maisha mazito na mepesi ndio maana misiba yote chanzo cha kifo lazima kitangazwe hata kama ni cha kuunda sentensi wengine wanakuwa wameelewa.

Kwa Public figure afya zao ni kitu cha public vile vile and of grave concern kuondoa hisia hasi dhidi ya Serikali..

Im out
 
tumepoteza pakubwa
 
Ukio
Kuna kitu hakipo sawa, wameamua kila kitu kiwe siri kwakua hawajiamin, dhambi kwao ni chai
 
Thank you , hata ukisoma matangazo yao yapo vague
 
Wacha waendelea kufanya siri,watakwisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…