Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueKuna vifo vinakwepeka na kuna wakati ukifika unatembea hakuna wa kuzuia.
Kama kwako kukosea jina la mji unaodai unaishi sio tatizo basi usomi wako unaweza kuwa ndio tatizoHili ni Tatizo kwako la msingi? Watanzania mnalaana na huu ni mfano
Focus na content
Wewe kafiri acha ujinga hapa,huu sio uzi wenu wa kukata viuno mbele ya wanaume.Achana na mawzo ya kiislamu ambayo ni ya kijinga
anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Sasa mtu anaumwa fistula ama ana jipu kwenye rinda unataka watangaze? Wabongo bana.Bongo kuta utaratibu mbaya sana wa kuficha taarifa za viongozi kama wanaumwa,tunaushia kuletewa breaking news tu kwamba mtu kaanguka. Rip Dr Ndugulile.
Siku zake za kufa ilitakiwa iwe lini ili wewe uone kua kafa kwa siku zake kufika?Ni sahihi. Sasa unakufa kabla ya siku zako. Mungu atusaidie. Binafsi mauti hii pia imeniuma.sana.
Pole kamanda.
Unawaza salary? Nlidhani utasema ataenda kufanya lobbying tupate miradi ya afya!! Typical Tanzanian mindsetMoja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly ,
Hahaha wee jamaa hahahaAcha ukuda. Wakishakuambia utanufaika nini?
Pumbavu.
Hahaha GT cheka balaaWewe kafiri acha ujinga hapa,huu sio uzi wenu wa kukata viuno mbele ya wanaume.
Ayubu 14:1,Mnaharibu hii post , na mitazamo kama hii