Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Andiko lako linafikirisha sana. Hii hali anaipitia Doctor Tulia. Anahitaji ulinzi wa kutosha. Wazungu hawapendi pesa wanazoamini zinatoka kwenye kodi zao ziliwe na Mwafrika. Lakini pia Waafrika hatupendani. Ubinafsi wa madaraka unafanya tunauana wenyewe kwa wenyewe.

Ndugulile alipaswa kuwa na ulinzi imara since alipopata cheo hicho. Tulia analindwa ni miongoni mwa walinzi akiwa ughaibuni ni hao wazungu. Hii kitu hawaitaki kabisa kunahitajika umakini
Wasiwasi wangu ni maneuver yalifanyika pale pale Congo, kwenye ulimwengu wetu tiba na Afya, human being ni very weak creature , na tunaijua anatomy ya human being exactly tunavoijua body smell zetu
Kifo cha human kinaweza kuwa induced slowly and within a specified period of time , as you suggested ulinzi wake ulipaswa kuwa priority kwa Taifa, shida kubwa CCM hawana kitu vichwani ni anaupiga mwingi ameweza ameshinda uchawa uchawa

West , North Africa ni very cruel creatures , I know them and some of them ninafanya nao
Kazi, selfishness

Faustine hakuwa na elimu kubwa kuwazidi wao, and he had very few published papers , while others walikuwa na more than 100 papers ……but akashinda kwa jitihada za URT, hi ilikuwa ni red light tumpe ulinzi.
Na ulinzi sio mapolisi, no one deal na gun now days , Ulinzi wa kisayansi sijui kama naeleweka

Tunasema tuna maafisa vipenyo, maafisa vipenyo are not trained to be smart but Dumb , ni kazi kupeleka umbeya here and there .walipaswa kuona hiyo post ina maslah makubwa kwa taifa, they should be ahead of time na kuuona ukweli. Sio Afisa kipenyo anazunguka na boda boda kufuatilia maisha ya watu , ni kuwafanya kuwa wajinga zaid. Kila kitu ni Sayansi and technology

Hapo TZ ni watanzania wangapi wapo kwenye makampuni ya UN , WHO ….. kufika huku ni kipengele kwa sababu hatuna watu kwenye decision making ndani ya hizo area. Utakuta UN ipo TZ but waajiriwa wengi sio watanzania

DG WHO was a lot na kila mwaka anapewa chances za kuajiri watanzania wenye uwezo, Kama vile Rais anavopewa viti maalum na kuteua

Endeleeni kufanya Siri na kupeleka watu india na South Africa

Faustine Ndugulile, A DG-WHO that never was
 
Inahuzunisha sana.
 
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Sijui kwanini, ila sijawahi umia kiongozi yoyote akifa! Nakumbuka nyerere alipokufa, mkapa, magufuli nk sikuumia!

Kipindi cha magufuli ikabidi nifeki tu nimeumia! Ila sikuumia hata chembe

Akifariki tu mtu wa karibu mtaan kwetu, machozi dakika sifuri
 
Hiyo nafasi ya Dr Ndugulile ilikua ni nafasi kubwa sana kwetu kama Taifa. Sisi Watanzania kwa sehemu kubwa tuna upendo kwetu wenyewe lakini kwa majirani pia.

Kuna uwezekano washindani wake kwenye hiyo nafasi kutokea mataifa mengine hawakuridhika. Ukiangalia kwenye ile nafasi Kuna "Cartel" kutokea West Africa na Southern Africa ambao hawataki hiyo nafasi itoke kwenye Kanda zao.

Rest in Peace Dr Ndugulile - DG -WHO(Africa) who never was.
 
Sahihi
 
Nchi yetu ambayo ilikua inajiendesha kijamaa ni ngumu sana baadhi ya tabia za kijamaa kuondoka kwakua hizo tabia zimekitwa mizizi kwa muda sana.

Tabia mojawapo ya ujamaa ni usiri.
Sahihi na hii inatutesa sana

Usiri ni tabia, kwa viongozi haifai
Watamalizana, sio sahihi kuletewa taarifa za msiba tu
Mmezoesha hivo , mtamalizana

Kuna vitu JK vilimfanya kuwa bora, alieweka wazaz afya yake na aliruhusu kutembelewa Hosp

Nyie wengine endeleeni na usiri, mtarudishwa s makwenu km viroba vya fukoshima
 
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Kama huyo Ndugulile kafa kwa michezo ya kijinga itakuwa kajitakia, kila mara ukisema tufanye mabadiliko hawako tayari, bali wanakaa kimya au kupigania party supremacy. Sasa wanapofanyiziwa inakuwa ni sawa tu.
 
Mpaka mtu aende india ina maana alikuwa mgonjwa wa muda mrefu. Lolote lingeweza tokea. Lakini kwa nini wanakombilia sana india. Wajifunze tundu lissu kidogo ambaye hakwenda india baada ya lisasi zote zile. Hakwenda india bali alienda kwingine kabisa na penye uhakika.
 
Safari yetu wanadamu hapa duniani ni fupi; na kila mtu ni kwa zamu yake. Apumzike salama daktari huyu msomi. Kama taifa tumepoteza mtu wa muhimu sana kabla hata hajashika nafasi yake ambayo ingemtambulisha yeye na nchi yetu. Na jana Yanga walipigwa magoli mawili. Na leo Simba wanacheza. Ndiyo mjadala wa kitaifa. Mengine yote hayana maana. Hili nalo litapita. Na maisha yataendelea tu.

Maisha!

Hata sijui yana maana gani!

Fumbo tata ajabu!
 
Kufa kufa tu, hata uende hospital gani wakufa tu. Mengi jinsi ya kuwa na pesa wa kufa? Sativa na LISSU kweli wa kupona? Lkn Allah akisema " Kun faya kun" mean kuwa basi huwa"
Yesu mwenyewe alisema

LUKA 5:31
Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa."

Sijawahi kumsikia akisema kufa kufa tu
 
Sahihi na hii inatutesa sana

Usiri ni tabia, kwa viongozi haifai
Watamalizana, sio sahihi kuletewa taarifa za msiba tu
Mmezoesha hivo , mtamalizana

Unawaza salary? Nlidhani utasema ataenda kufanya lobbying tupate miradi ya afya!! Typical Tanzanian mindset
Hujasoma vema post, hupasw kufanya lobbying, one of the benefits ni unapewa upendeleo wa watu wako being a DG WHO

Hiyo ni one of his responsibilities ndan ya job description yake
 
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Akifa bibi zenu huko vijijini mnasema mipango ya mungu ila wakifa viongozi wenu mnasema ameuawa! Poor Tanzanian
 
Back
Top Bottom