Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Hizo hospitali zako maalumu za Wahindi hazina maajabu
Kwani wewe ulitaka maajabu ya namna gani; zizuie kila aina ya vifo visitokee hata kwenye magonjwa ambayo kwa sasa hayatibiki? Utaalam huo bado haujafikiwa mahali popote duniani.
Watu wataendelea kufa tu hata huko John Hopkins aliko kwenda Kikwete.
Matatizo ya watu kama wewe msio kuwa na ufahamu ni kuwa, teknolojia sasa inaruhusu kabisa mtu akatibiwa hata hapa Muhimbili kwa ushirikiano wa wataalam toka sehemu mbali mbali duniani; mradi tu pawepo na nyenzo zinazo takiwa.
Hakuna lazima ya kwenda kwingine kokote duniani kupata huduma nzuri na za kisasa.

Wakati wewe unaimba "India shit", viongozi wako "wajinga" wanajipanga mstari kwenda kukopa huko huko kwa member wa G20. Na muda si muda, utawaona viongozi hao hao wakikimbilia huko kuomba madeni yafutwe. Watu wajuaji kama wewe, mpo tu hapo mnakenua meno na kuendelea na nyimbo zilezile "India shit"! Sijawahi ona wenda wazimu kama huu.
 
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.

PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Hizo nafasi zingeishia kwa familia yake na ndugu zake pamoja na viongozi wa juu wa CCM.
Wewe huko Kanada umekwisha pima? Hata hivyo maradhi mengine hunitoke,a ghafla hasa yale ya kurithi kiukoo.
 
Hizo nafasi zingeishia kwa familia yake na ndugu zake pamoja na viongozi wa juu wa CCM.
Wewe huko Kanada umekwisha pima? Hata hivyo maradhi mengine hunitoke,a ghafla hasa yale ya kurithi kiukoo.
Zingeishia kwa ndugu zake kwani yeye ni HR?

Mfumo wa wenzetu umenyooka
 
Ifike mahali hata chakula cha kwenye majumuiko kiangaliwe sana
Ukiona wewe ni mtu potential usile hovyo kwenye majumuiko. Wengi humaliziwq maeneo hayo. Vitu kama pipi zinafunguliwa safi na kuwa sprayed kisha hufungwa vema na unasogezewa na muhudumu,

Maboss wangi hawapangi folen wanaletewa food… wengi humaliziwq hapo
 
Kifo ni siri ya Mwenye Arishi, na kila mmoja ana siku yake ya kufa. Siku na saa ikifika hucheleweshwi wala huwahishwi. Ifike wakati tuamini Vito ni faradhi isiyokimbilika kwa hila.

We belong to Him, and to Him we shall return
 
Kwani wewe ulitaka maajabu ya namna gani; zizuie kila aina ya vifo visitokee hata kwenye magonjwa ambayo kwa sasa hayatibiki? Utaalam huo bado haujafikiwa mahali popote duniani.
Watu wataendelea kufa tu hata huko John Hopkins aliko kwenda Kikwete.
Matatizo ya watu kama wewe msio kuwa na ufahamu ni kuwa, teknolojia sasa inaruhusu kabisa mtu akatibiwa hata hapa Muhimbili kwa ushirikiano wa wataalam toka sehemu mbali mbali duniani; mradi tu pawepo na nyenzo zinazo takiwa.
Hakuna lazima ya kwenda kwingine kokote duniani kupata huduma nzuri na za kisasa.

Wakati wewe unaimba "India shit", viongozi wako "wajinga" wanajipanga mstari kwenda kukopa huko huko kwa member wa G20. Na muda si muda, utawaona viongozi hao hao wakikimbilia huko kuomba madeni yafutwe. Watu wajuaji kama wewe, mpo tu hapo mnakenua meno na kuendelea na nyimbo zilezile "India shit"! Sijawahi ona wenda wazimu kama huu.
China inatoa mkopo mkubwa kuliko hao takataka Wahindi.

China imetoa 0 tariffs kwa kwa nchi masikini hasa za Afrika kuingiza bidhaa China.

Ina BRI ambayo imewekeza kwenh ujenzi wa miundombinu, inatoa pesa na mikopp kwa Afrika zaidi ya WB na OMF na mikopo mingine ni 0 interest loan

Hao Wahindi wana maajabu gani wanayowafanyia Waafrika ukilinganisha na China?
 
Hivi unakumbuka miaka 15 hadi 20 ilivyo kuwa China? Kawaulize zile baiskeli zote zilipotelea wapi?
India sasa hivi yupo kwenye hatua ya kuruka vile vile; na watu kama wewe mtabaki tu mkiimba "India shit"! Huku hali zenu zipo vile vile na hao viongozi wenu mnao waita "wajinga"!

Lakini usifikiri mimi nipo hapa kumtetea mhindi kwa maslahi yoyote yale. Lengo langu ni kukufahamisha tu kwamba zile hospitali wanako kwenda viongozi wenu "wajinga"; siyo hospitali za "Public Health Service" kama ulivyo kuwa ukiamini wewe. Huu ndio wajibu wangu hapa kukufahamisha hilo.
Sasa naona hili halina taizo lolote kwako, kwa sababu unalijuwa sasa. Kwa hiyoi sina sababu tena ya kuendelea na mengine unayo yazua wewe hapa.
 
Lengo langu ni kukufahamisha tu kwamba zile hospitali wanako kwenda viongozi wenu "wajinga"; siyo hospitali za "Public Health Service" kama ulivyo kuwa ukiamini wewe. Huu ndio wajibu wangu hapa kukufahamisha hilo.
Sasa naona hili halina taizo lolote kwako, kwa sababu unalijuwa sasa. Kwa hiyoi sina sababu tena ya kuendelea na mengine unayo yazua wewe hapa.
Hizo hospitali unazosifia hazina maajabu yoyote, tatizo lako umekariri. Ndio maana wadau wengi humu wanakushangaa. Na muda mrefu nilikwambia kuwa viongozi wenyewe wa India hawaendi hizo hospitali wanaenda kutibiwa nje ya India. Kama mwenyeji anafanya hivyo basi ujue kuna shida
 
Hivi unakumbuka miaka 15 hadi 20 ilivyo kuwa China? Kawaulize zile baiskeli zote zilipotelea wapi?
India sasa hivi yupo kwenye hatua ya kuruka vile vile; na watu kama wewe mtabaki tu mkiimba "India shit"! Huku hali zenu zipo vile vile na hao viongozi wenu mnao waita "wajinga"!
China is miles ahead of India. Huwezi kuzifananisha sio kwenye manufacturing, tech, infrastructure, health system, education. India kwa China ni takataka Huwezi kufananisha uchumi wa China wa $18 trillion na wa India $3 trillion
 
Elimu ya Tanzania ni shida

Kichwa cha habari kinasema kusikitishwa na kifo cha Dr Ndugulile.

A reader expects an eulogy about the person.

The nonsense you read, watanzania hamjui kuandika.

Aargh, to think people dare challenging my writing skills halafu unasoma ujinga kama huu.

Like kabisa WHO hawana employment plans zao, hadi DG wao awapangie; that’s like saying WHO is a nonsensical institutions like the ones we have in Tanzania.

The nonsense
 
Hivi unakumbuka miaka 15 hadi 20 ilivyo kuwa China? Kawaulize zile baiskeli zote zilipotelea wapi?
India sasa hivi yupo kwenye hatua ya kuruka vile vile; na watu kama wewe mtabaki tu mkiimba "India shit"! Huku hali zenu zipo vile vile na hao viongozi wenu mnao waita "wajinga"!

Lakini usifikiri mimi nipo hapa kumtetea mhindi kwa maslahi yoyote yale. Lengo langu ni kukufahamisha tu kwamba zile hospitali wanako kwenda viongozi wenu "wajinga"; siyo hospitali za "Public Health Service" kama ulivyo kuwa ukiamini wewe. Huu ndio wajibu wangu hapa kukufahamisha hilo.
Sasa naona hili halina taizo lolote kwako, kwa sababu unalijuwa sasa. Kwa hiyoi sina sababu tena ya kuendelea na mengine unayo yazua wewe hapa.
Viongozi waboreshe Hospital za nchini na sio kuweka Justification za kukimbilia nje !

Hospital ni investiment with neccessary equipments and technology

Ever wondered why mitaala ya kufundisha we have adopted from outside, yaani tunatumia mitaala yao lakini wao Hosp zao ni bora zaidi

The reasons ni wana resources yaani Technology,HR na equipments plus investment

Sisi tumefocus na HR tu . Kwa mfano, TZ nzima unajua kuna Computed Tomography Scan ngapi ?

Tuna Magnetic Resonance Imaging ngapi ? Those are basic equipments Investment yake ni billions , tumewekaza kwenye Ma V8 , most of TZ wakienda India wanaenda kwenye public Hospitals ….Over 60 years of independence, kuna Regional Hospitals hazina basic equipment kama hizo .

Radiation treatment nchi nzima ipo Ocean Road tu, imagine mtu wa kanda ya ziwa anafikaje na kazi yake ni kuvua ?

Niliwahi kusema medicine is not about having Numbers of physicians ….. tena now days role za physician zitapotea….

Technology ina advance kwenye robotics , artificial intelligence na machine learning .. we no longer need doctors sitting on chair na kuanza kutibu… robots will do that kufanya diagnosis tena with accuracy and speed….

Programmed robots will be able to serve thousands pf patients per few hours
Robotics will reduce médication errors

Surgery nyingi now days zinafanywa na robots….. change ni inevitable

Gvt need to invest in Health , India have nothing new … na sio kwamba they have good doctors ….. sio kweli

Hao wa TZ mkiwapa Investment….mtakuwa mnapokea wageni kutoka nje na nyinyi

Tatizo kubwa ni viongozi wa CCM , how Come mtu kama Mafuru anafia India, Fau tuliempa hadi wizara nae anafia India

It is such a shame kuwa na viongozi wanaofocus kwenye V8 na sio Health
Kiufupi wataenda sana india maana wengi ni wagonjwa tayari, na wengi watarudi kwenye upande wa mizigo

Nakumbuka ishu ya mwaisela…. Ilikuwa ukilazwq pale ….. hiyo ni safar na ukitoka salama… aisee una umr mrefu

kama tungekuwa na smart leaders …. No one would go to india…. Kufanya nini

….
 
India iko overrated sana na Watanzania

Mtu una hela na mtumishi mkubwa tu serikalini eti unaenda India

Huwezi kusikia kiongozi mkubwa wa mataifa ya Ulaya, Far East Asia, Latin America au Middle East ameenda India
Mkuu kw Wananchi wa Ulaya nao wanaenda India kujaribu kutibu malazi yao.
 
Elimu ya Tanzania ni shida

Kichwa cha habari kinasema kusikitishwa na kifo cha Dr Ndugulile.

A reader expects an eulogy about the person.

The nonsense you read, watanzania hamjui kuandika.

Aargh, to think people dare challenging my writing skills halafu unasoma ujinga kama huu.

Like kabisa WHO hawana employment plans zao, hadi DG wao awapangie; that’s like saying WHO is a nonsensical institutions like the ones we have in Tanzania.

The nonsense
Punguza makasiriko dunia bado nisehemu sahihi
 
What's so special na Hospital za India??????.
Kila anayekwenda huko anakata moto!!!
UK, USA, NA Europe hakuna hospital za kisasa???
Mkuu Serikali itakua wameingia Mikataba na Serikali ya India si unajua CCM inaingiaga Mikataba ya Kijinga inatakiwa tukipata Kiongozi shupavu akaivunje Mikataba ya Afya kati ya Serikai ya Tanzania na India.
 
Back
Top Bottom