Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Na anaonekana kama kapungua kidogo.

Nifah I miss you
 
Kwa hiyo hata yale majeneza kule makaburini wale maiti nao wanatumiwa na mabeberu?

Na wale tunaowaona wameanguka vituo vya daladala na huko mitaani nao wanatumiwa na mabeberu?

Kama tatizo sio kubwa kwanini hajarudi DSM kumuapisha Mwigulu?

Siku hizi sizioni picha akiwa kanisani, kuna alieziona picha au video zake za leo?

Kama haendi kanisani sababu ni nini, msiseme mgonjwa, kwasababu bado anafanya kazi nyingine.

Eti kapeleka sampuli za mapapai na maparachichi, aisee tuheshimiane basi hata kidogo, haya maigizo huu sio muda wake...

Watu wanalalamika vifaatiba vichache halafu wewe unapeleka sampuli za mapapai, wakati kuna wanaohitaji hiyo huduma kujua hali za afya zao!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atoke chatoo.. aache kutuamimisha vitu vya ajabu.

Anasema tuchape kazi lakini anaogopa corona zaidi ya risasi.

RAIS lazima ajali maisha ya raia wake.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] we mama unanifurahishaga mnoo
 
Mkuu ikulu tafsiri yake ni nini? Ki kwetu ikulu ni mahali mtemi anaishi na kufanya kufanya shughuli zake.

Yaani mtemi anakuwa na makazi pia ofisi ambapo anaweza kuwahudumia wanaohitaji huduma yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Nchi hii toka enzi za mwalimu kila wilaya ina ikulu ndogo,anaebisha aje hapa
Hayo si makazi binafsi ni ikulu ndogo
Halafu katiba haimzui Rais,anaweza kumuapisha mtu hata mnadani,almuradi kanuni za kiapo husika zifuatwe
 
Popote tu pale mtu anaapishwa. Wala sio issue sana.

Muhimu watu wafanye kazi walizotumwa kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kila mtu mwanasiasa, pia nahisi wengi hatuna kazi za kufanya ndo maana tunafuatilia kila kitu, kwani akiapishiwa ikulu dar si tunafaidika nini au akiwa ikulu dar mtu unafaidika nini aise watanzania .
 
Mama umebadilika siku hizi...
 
Kwahiyo hutaki au?? Mtanyoka nyie si ndio walamba viatu vyake. Tulishawaonya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…