Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Ukiwaambia hivyo Chinga pale Mtaa wa Kongo wanakugonga stone fasta tu. Niamini. Ijapokuwa unaweza kuwa na logic lkn wao hawanyanyaswi na mgambo wa jiji.Vitambulisho vya umachinga ni kero na fedha inayokusanywa haina mpango maalum wa matumizi! Wizi mtupu!
Wametoa 20K wanaishi salama.
Kila sehemu lazima kujua hitaji na suluhisho. Ukiwaambia ni sera mbovu wakati walikuwa wanapoteza mali zao utakosa kaka