KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Kondoo kabisaJaribu kuwa mwelewa, kinachotakiwa kumlinda mmachinga sio kitambulisho, bali kuwepo na kanuni zinazotambua haki za machinga kisheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kondoo kabisaJaribu kuwa mwelewa, kinachotakiwa kumlinda mmachinga sio kitambulisho, bali kuwepo na kanuni zinazotambua haki za machinga kisheria.
Marekani inaongoza kwa kukopa duniani.
Kujijenga kiuchumi haimaanishi tuache kukopa...
Jaribu kuwa mwelewa, kinachotakiwa kumlinda mmachinga sio kitambulisho, bali kuwepo na kanuni zinazotambua haki za machinga kisheria.
[/QUOTE
Kama hataji nini atawaboreshea zaidi ya hapo, anajiundia bomu la nyukilia nakwambiaWewe sio mfanyabiashara hujui adha ya hivi vitambulisho. Kwanza tunakosea sana kuviita vitambulusho. Hii ni kodi ya 20,000 ya kila mwaka kwa mfanyabiashara mdogo. Kitambulisho ni kama risiti tu kuwa umelipa 20,000. Kibaya zaidi hii pesa inaenda moja kwa moja kwenye office ya Rais na haiwi audited. Tungekuwa na bunge imara uhalali wa hii pesa kwenda office ya rais ingehojiwa.
Mh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi.
Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa TRA na mgambo wa jiji. Kumbuka wengi wa wenye hivi vitambulisho Ni wenye vibanda vidogo mtaji wao haufiki 5m, wauza screpa wauza chupi, vibanda vya mpesa, wachoma chips, mamalishe.
Hawa ndio walikuwa chumaulete wa mabwana afya, afisa biashara, tra mgambo wa jiji, maafisa wa zimamoto, wenyeviti wa mitaa, watendaji kata, Hawa wote walikuwa wakipitisha msako na kuchuma fedha.
Leo hii kijana anauza madela kaweka kitambulisho Cha machinga haguswi, ukivifuta manake waanze kusakwa Tena. Kwahili aliyekuambia useme changanya na za kwako.
Ccm imepofusha uwezo wa kufikiri wa watanzania wengi.Wajasiriamali duniani kote hulindwa na sera bora sio kitambulisho!
Wajasiriamali duniani kote hulindwa na sera bora sio kitambulisho!
Kitambulisho ni sera! Nmekurupuka mjuzi.Kwani kitambulisho sio sera?
Mbona wafanya biashara wakubwa pia wana leseni kulingana na biashara yake kwa hiyo hiyo sio sera?
Au umekurupuka
Yaan tunasema Kipande system kwaMatumizi ya hivi vitambulisho vya wamachinga si sawa, vinatumika vibaya kwani kuna wafanyabiashara wenye mtaji mkubwazaidi ya 20m wanavitumia.
Kinachohitajika ni sera na sheria nzuri ziwekwe ili kuwalinda na kuwainua hao wamachinga.
Hivi vitambulisho ni mradi wa watu fulani ndiyo maana wamekuwa anauwezo wa kuvitengeneza lakini vitambulisho vya Taifa vimewashinda.
Lilikuwapo la
1. Covid 19
2. Machinga vitambulisho
3......
Awe na watu wamsaidie aache hii
One man show
La sivyo tutajua hawajajipanga, hata hivyo sio rahisi kushinda hata kwa kura za kuhesabu mikono.
Humu mitandaoni tudanganyane tu.
Niko hapa Itope nakula usipa
Hataondoa vitambulisho bali atawapa bure siyo kuwalipisha pesa acha upotoshaji weweMh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi.
Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa TRA na mgambo wa jiji. Kumbuka wengi wa wenye hivi vitambulisho Ni wenye vibanda vidogo mtaji wao haufiki 5m, wauza screpa wauza chupi, vibanda vya mpesa, wachoma chips, mamalishe.
Hawa ndio walikuwa chumaulete wa mabwana afya, afisa biashara, tra mgambo wa jiji, maafisa wa zimamoto, wenyeviti wa mitaa, watendaji kata, Hawa wote walikuwa wakipitisha msako na kuchuma fedha.
Leo hii kijana anauza madela kaweka kitambulisho Cha machinga haguswi, ukivifuta manake waanze kusakwa Tena. Kwahili aliyekuambia useme changanya na za kwako.
Hata kitambulisho hupewa bure siyo kuuziwa kama CCM walivyofanyaWajasiriamali duniani kote hulindwa na sera bora sio kitambulisho!
jamani chadema waongo, amesema kabisa ataondoa vitambulisho vya machinga, huyu ni adui wetu namba moja, anataka kufukarisha watanzaniaHataondoa vitambulisho bali atawapa bure siyo kuwalipisha pesa acha upotoshaji wewe
ndio anafanya kampeni pekeyake wengine nao wakianza tutawasikiliza tuta tafakariView attachment 1545980 Asilimia kubwa thread zako wewe, ni kumponda Lissu tu!
Kumbuka ukiweka kanuni pia watalazimika kukaa maeneo maalum tofauti na sasa ambapo utawakuta hadi masaki.
Kwa hiyo bado watarudi kule kule walikotoka na wengi wao hawaamini kukaa sehemu moja.
Nyie kweli zumbukuku..kwani kodi na makusanyo mrngine zote unajua zinaenda kwa nani?Ninyi watu ni wa ajabu na wasahaulifu sana....
Kwanza dhana yenyewe tu ya "kitambulisho cha Machinga/mjasriamali mdogo" haieleweki...
Haieleweki pesa zinakusanywa na nani japo tunaambiwa ni TRA, lakini ukweli siyo huo...
Haieleweki pesa hizo zinakwenda wapi na kufanya mini...
Ambacho tunaamini ni kuwa, huo ni mpango wa M/kiti wa CCM (taifa) ambaye pia ni Rais na kwa kutumia vibaya mamlaka yake ya "URAIS" anakitafutia chama chake fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama ikiwemo kampeni za uchaguzi, kununua wanasiasa wa vyama pinzani nk...
Hili ni rahisi mno kulieleza kwa wananchi na kueleweka kuwa kumbe wanaibiwa tu, wanafisidiwa tu, hamna lolote....
Kwa hiyo, hii kitu inapaswa kukomeshwa mara moja kwa sababu kwa vipimo vyote huu ni WIZI mtupu....
Akakate tin na leseni. Unafkiri watu ni wajingaHivi Leo mama anataka kuuza majimbi yake lazima awe na kitambulisho? Siungi mkono kitambulisho
Sheiza m, the Sukuma gang, mmefikwa na mabaya , poleni Sana machingaNyie kweli zumbukuku..kwani kodi na makusanyo mrngine zote unajua zinaenda kwa nani?
Punguzeni kujitia aibu.
Halafu ukisema dhana yenyewe kwani wamachinga hawafanyi biashara?? Kuna malalamiko yoyote toka waingie mkataba na serikali kupitia hicho kitambulisho kwamba wanasumbuliwa?
Ya wamachinga muwaachie wamachinga. Hayo ndio madhara ya kutokuwa na hoja..matokeo yake badala ya kutafuta kura unapoteza hata zile chache za huruma.