Uchaguzi 2020 Hili la kuondoa vitambulisho vya machinga umebugi stepu

Vitambulisho vya umachinga ni kero na fedha inayokusanywa haina mpango maalum wa matumizi! Wizi mtupu!
Ukiwaambia hivyo Chinga pale Mtaa wa Kongo wanakugonga stone fasta tu. Niamini. Ijapokuwa unaweza kuwa na logic lkn wao hawanyanyaswi na mgambo wa jiji.

Wametoa 20K wanaishi salama.

Kila sehemu lazima kujua hitaji na suluhisho. Ukiwaambia ni sera mbovu wakati walikuwa wanapoteza mali zao utakosa kaka
 
Marekani inaongoza kwa kukopa duniani.

Kujijenga kiuchumi haimaanishi tuache kukopa.

Tunachokikataa ni mikopo yenye kitanzi. Tunataka miikopo yenye tija kwetu

Mwisho. Tunakopa kwa sababu walioshikilia uchumi wa dunia wameharibu mifumo yetu ya kujitegemea haswa kwa kupandikiza watu aina ya mbeligiji Loketo na wewe
 
Mimi Lissu hata akisema atafuta Talaka bado kura yangu anayo tu
 
Hizo pesa zinaenda kwenye mfuko wa Rais ,TRA wanatambua kwamba hakuna sheria ya kuzikusanya hizo pesa. hicho ndicho mara kwa mara nimekuwa nakisema kuongoza kwa sera ambazo hazitabiliki ambazo hazidumu 'policy uncertanity'
 
Jaribu kuwa mwelewa, kinachotakiwa kumlinda mmachinga sio kitambulisho, bali kuwepo na kanuni zinazotambua haki za machinga kisheria.
Mnamkosesha kura lisu hapa aisguse manake binafs kimenifaa sana
 
Mh Lisu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi...
Huyu Lissu ni wakumuonea huruma tu. Kwani hamjui jamaa ni "DEBE TUPU........."
 
Lilikuwapo la
1. Covid 19
2. Machinga vitambulisho
3...
Lissu hajajipanga na wenye chama wananuangalia tu wakijua ataaibika mwenyewe. Hana jipya na ninarudia tena hapa. Lissu hata kura millioni hapati. Sana sana laki 5.
 
Lissu kila siku anatoa maboko,kampeni za mwaka huu zitakua nyepesi sana
 
Mh Lisu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi..
MATAGA mmepoteana vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaribu kuwa mwelewa, kinachotakiwa kumlinda mmachinga sio kitambulisho, bali kuwepo na kanuni zinazotambua haki za machinga kisheria.
Asa kitambulisho sio ishara ya utaratibu?? Kwani sheria ama katiba si likitabu tu? Yaani a physical thing representing?? Akili za kuambiwa
 
Hakuna machinga anayefata mzigo china Ni nyie wenye leseni huwauzia bidhaa na wao kuzitandaza chini Ni mwaka Sasa hamna aliyefunga biashara kwa kuzibiwa njia na machinga Badala ya kuangali
Wewe shosti ni pimbi hujielewi...
Eti Nini? Nilikuambia sijui jinsia yangu?
 
Mgambo wa jiji wanafanya unyama huo kwa maelekezo ya utawala ulioko madarakani. Serikali hii imeshindwa kuja na suluhisho bora zaidi la kupata ushuru kutoka kwa machinga badala yake imetafuta njia za kuiba fedha!
 
Mgambo wa jiji wanafanya unyama huo kwa maelekezo ya utawala ulioko madarakani. Serikali hii imeshindwa kuja na suluhisho bora zaidi la kupata ushuru kutoka kwa machinga badala yake imetafuta njia za kuiba fedha!
Kwa mawazo uliyo nayo hata kama wangekusanya ushuru kwa njia tofauti ungesema wanaiba.
Labda ungepewa kutunza hiyo fedha wewe
 
Kwa mawazo uliyo nayo hata kama wangekusanya ushuru kwa njia tofauti ungesema wanaiba.
Labda ungepewa kutunza hiyo fedha wewe
Kuna taratibu rasmi za kiserikali za kukusanya ushuru na fedha inajulikana inakwenda wapi. Fedha za vitambulisho anakusanya Jiwe hazijulikani anapeleka wapi na kwa kazi gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…