Hili la kuweka vibao viwili Kwa Nchi Moja Tanzania na Zanzibar limekaaje?

Zanzibar ni nchi ndio maana wazalendo tunapambana ipewe mamlaka kamili, maana wanaonewa sana chini ya mwamvuli wa muungano
Acha unyumbu wako!, athari ni kubwa!, hujui tu, hujui zanzibar ni mpaka hata sitaji, lakini hii dar uliyopo ni zanzibar!, unadhani mwalimu alikuwa mjinga!
Tuimarishe muungano wetu.
 
Picha hii hapa
Upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri kwa sasa ni jambo lisiloepukika hapa Tanzania.
 
Mkuu hivi munangoja nini? Uungwana ni vitendo sio blahblah
Tanzania sio Kenya, take care,! Unavunjwa tu ubavu!, Tupo million 60+,kupoteza watu wajinga 50-200 kwa usalama wa watu 60+,sio issue!
 
Wamefanya maksudi ila sio sahihi maana ndani ya Tanzania Kuna Zanzibar kama lengo lilikuwa kuitangaza Zanzibar wametumia njia isiyo sahihi na inaleta taswira mbaya ukizingatia Rais wa Tanzania ni mzanzibar.
 
Mkuu hivi munangoja nini? Uungwana ni vitendo sio blahblah
tunangoja samia hatoke madarakanii iwe kivyovyote vile then tunahitaji rais mtanganyika mwenye uchungu na tanganyika yake ndio tunazishe hiyo agenda ya kuvunja huo muungano....tutaona nani huwa anamtegemea mwenzake
 
Kujitutumua tu! Hilo guberi lenu linahangaika tu lakini huyu siyo kiongozi kabisa!
 
Kwani hukuelewa pale Mzanzibari alipouza Bandari zenu za Tanganyika( iliyojivika koti la Tanzania) kwa wajomba zake wa DP World na zile za Zenji zikabaki!? Maana yake ni kuwa "Zanzibar ni Taifa huru kimaTaifa"
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…