Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

Rip
Image_1683708845.jpg
 
Afu unaambiwa hao vijana ndo wanatakiwa walijenge taifa na mambo yenyewe ndo Kama hayo.
 
Mwendokasi mara nyingi sio factor sana kwenye ajali. Mtu akiendesha kwa kasi lkn kwa kufuata sheria za barabaran ngumu kutokea ajali. Na from my experience dreva akiwa mwendokasi focus yake inaongezeka
Ili kuondoa uwezekano kabisa ni vyema barabara zikaongezwa upana na ziwe duo carriage

Mabasi kwa sehemu kubwa sasa mengi mapya, tairi zinanunuliwa mpya, ashukuriwe Mchina
 
Achana na ligi za mabasi. Kuna ishu nyeti sana zaidi ya hiyo... Tupiganie Karina mpya, na tupate ujasiri wa kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya wajukuu wetu.... Kuna utumbo mwingi unaendelea ndani ya nchi kuliko hizo ligi za mabasi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom