Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

Mwendokasi mara nyingi sio factor sana kwenye ajali. Mtu akiendesha kwa kasi lkn kwa kufuata sheria za barabaran ngumu kutokea ajali. Na from my experience dreva akiwa mwendokasi focus yake inaongezeka
Sio kwa barabara za Tanzania
 
Ligi nyingi zimeisha saivi tumehamia huko Hadi mwezi wa 8, Mambo mengine tuwaachie msoga na genge lake......kikubwa pesaaaaaaa😎😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom