Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
kwahio habari rasmi ndio itoke kesho ? au ni muda gani unaona ni muafaka ?Mtu kuugua ni aibu? Vipi kama ndio korona imeingia leo nchini kupitia kwa familia ya Maalim Seif?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahio habari rasmi ndio itoke kesho ? au ni muda gani unaona ni muafaka ?Mtu kuugua ni aibu? Vipi kama ndio korona imeingia leo nchini kupitia kwa familia ya Maalim Seif?
Taarifa rasmi ya serikali itasemaje.Unataka uone nini?
Hatuna na serikali imeamua kulikalia kimya labda kwasababu haina strategies za kupambana na huu ugonjwa kwahiyo we live by God's graceKumbuka hii kitu inasambaa vibaya,je tuna vifaa na wahudumu wa kutosha kukabiliana nayo?
Haya yetu macho.Taarifa rasmi ya serikali itasemaje.
ACT wazalendo siyo wasemaji wa hospitali!
Je unaamini taarifa waliyoitoa ama unaipuuza?Taarifa rasmi ya serikali itasemaje.
ACT wazalendo siyo wasemaji wa hospitali!
Bwashee kwani inaonekana? Mshatoka Tabora?Ngoja tuone!
Kumbuka mimi sio wa kukurupuka lazima ni digest. Kwa hiyo sidhani kuwa ni mtu wa kudanganywa.
Taarifa rasmi ya serikali itasemaje.
ACT wazalendo siyo wasemaji wa hospitali!
Hawawezi kumsingizia, naamini!Je unaamini taarifa waliyoitoa ama unaipuuza?
Tabora kuchele bwashee!Bwashee kwani inaonekana? Mshatoka Tabora?
Ili waliwahi kusema kweli.Unataka kusema kila taarifa za serikali ya JPM ni uongo?
Taarifa za Rais na wasaidizi wake zinatolewa na Ikulu.Yaani watu wawe na mgonjwa wao na wanaona kabisa anaumwa nini kisha wasubiri hospitali au serikali itasemaje?
Ila Bwashee ongea naye awe anaruka Mwanza kwenda Simiyu na Mara Basi. Hata huku Kaskazini pia ni Rais wetu. Unajua Simiyu na Mara alienda kipindi cha kampeni tu? Huku kaskazini ndo kwanza hata Kampeni alipita njia tu. Ila daily Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza na Geita. Au huku na kule kwingine hakuna Miradi ya kuzindua na watumishi wa kutumbua?Tabora kuchele bwashee!
Mnaleta siasa kwenye uhai wa watu kila siku. Tukiwaambia acheni utani linapokuja suala la maisha mnakumbatia vyama. Huyu mtu kwa vile yeye na familia yake wana uwezo wa kutibiwa popote kwa gharama yoyote kwa gharama za serikali, basi hajali maisha ya mwingine tofauti na watu wake.Kwanza kabisa limewashutua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,waziri mkuu au waziri wa afya, kwa nini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya covid 19 hapa nchini?
Ok fine kama kiongozi wa serikali ambae ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.
Kwa nini serikali ya rais JPM haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazili yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwa nini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?
Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi alafu serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Taarifa za Rais na wasaidizi wake zinatolewa na Ikulu.
ACT wazalendo waache mambo ya kienyeji!
Maalim apige nyungu tuu