Mungu ana Mipango yake!Hapo lazima dunia nzima itatushangaa na kutuona sisi ni watu wa ajabu kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia kwani ni juzi tu tulikuwa tunaibeza Chanjo ya corona kwa kutangaza kuwa tupo salama na hatuna Korona kabisa alafu leo Hii Makamu wa Rais anakutwa na virusi vya korona
. Ni aibu ya mwaka