Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

Yaani watu wawe na mgonjwa wao na wanaona kabisa anaumwa nini kisha wasubiri hospitali au serikali itasemaje?
Taarifa za Rais na wasaidizi wake zinatolewa na Ikulu.

ACT wazalendo waache mambo ya kienyeji!
 
Tabora kuchele bwashee!
Ila Bwashee ongea naye awe anaruka Mwanza kwenda Simiyu na Mara Basi. Hata huku Kaskazini pia ni Rais wetu. Unajua Simiyu na Mara alienda kipindi cha kampeni tu? Huku kaskazini ndo kwanza hata Kampeni alipita njia tu. Ila daily Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza na Geita. Au huku na kule kwingine hakuna Miradi ya kuzindua na watumishi wa kutumbua?
 
Mnaleta siasa kwenye uhai wa watu kila siku. Tukiwaambia acheni utani linapokuja suala la maisha mnakumbatia vyama. Huyu mtu kwa vile yeye na familia yake wana uwezo wa kutibiwa popote kwa gharama yoyote kwa gharama za serikali, basi hajali maisha ya mwingine tofauti na watu wake.

Watanzania amkeni Corona ipo nchini tena kwa wingi, usipichukua hatua utaiacha familia yako kwenye mateso makubwa maana wengi tunategemewa na watoto, wake/waume na wazazi wetu.
 
INASHANGAZA SANA KWANINI WASIUTANGAZIE UMMA WA WATANZANIA TU KUWA JANGA LIPO ILI TUCHUKUE TAHADHARI ZOTE,WASIHOFU TUNACHOHITAJI NIKUAMBIWA KWELI NAWALA SIKUJIFUNGIA NDANI COZ GVNMT HAITAKI KUWAJIBIKA KWA WATU WAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…