..hujaona wasaidizi wa Jiwe wanatembea na kibox kina microphone yake mwenyewe?
..kwanini unawasikitikia viongozi ambao wana access na huduma nzuri za afya badala ya wananchi wa kawaida ambao wako ktk risk kubwa zaidi?
..Jiwe anapata faida gani kudanganya wananchi kwamba hakuna korona na wako salama?
Mkuu, JokaKuu nisieleweke vibaya - nilimaanisha kutoonyesha umakini /tahadhali za kujikinga na gonjwa hili in General, binafsi nikiangalia mikusanyiko ya watu kwenye mikutano na ufunguzi/uzinduzi wa projects halafu watanzania wachache tu wanao vaa barakoa wengi wao ni wenye asili ya kihindi au Kiarabu, nikiona watu wanapuuzia kujiwekea tahadhali halafu wameshonana kwenye ufunguzi/uzinduzi wa projects au mikutano mengine vinyweleo vya mwili wagu unisisimuka, najiuliza hivi hawa Watanzania wenzangu wanajua kwamba wanajiweka kwenye harms way bila ya kujitambua?
You can also feel kwamba baadhi ya viongozi wetu wanasita kuvaa barakoa kwa kuogopa kwamba wakivaa labda umma au viongozi wenzao watawafikiliaje kwamba wanataka kutangazia Dunia kwamba kumbe Tanzania ugonjwa huu bado hupo - kwani hata ikijulikana hivyo kuna aibu gani kuchukua tahadhali, mbona viongozi wa Merikani,Uingereza,Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya na Afrika wanavaa barakoa wanapo kuwa kwenye mkusanyiko wa watu - iweje taifa letu lichukulie vitu kana kwamba bado ni business as usual - binafsi siungi mkono lockdown, lakini tahadhili ziwe reinforced by Wizara ya afya na ma RC wa mikoani.
Tanzania sio kisiwa don't you forget that, tusijidanganye hapa, ukweli wa mambo ni kwamba hakuna vitual Cocoon or Eskimo Gigloo yenye uwezo wa kulinda Taifa letu lisihadhillike peke yetu Dunia nzima, maombi/sala vinasaidia lakini tusivichukulie kana kwamba ni cure all like Panadol/Asprin, Wahaya tuna msemo: "MUNGU MBELA NAIWE OBA ITAILEO AGAWE" kwa maneno mengine Mungu uwasaidia wale tu ambao uonyesha juhudi za kujisaidia wawo wenyewe kwanza, not anything in between.
Haingii akilini kwamba majirani zetu: Kenya, Uganda,Kongo DRC,Rwanda,Burundi,Msumbiji,Ushelisheli,Malawi, Zanzibar na Pemba nchi zote hizo ziwe na hali mbaya ya maambukizi, sisi ndio tuwe exceptional - something is dead wrong down the line - the sooner we rectify the situation the better na wala Dunia haita tucheka kwamba mbona Tanzania walijifanya hakuna ugonjwa wa KOVID - sasa kiko wapi? Tusifike huko tafadhali. Maoni yangu.