Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hauko sahihi mkuu, badili msimamo wako haraka kuhusu hili.Unafahamu kuwa Covid 19 inashambulia zaidi watu wenye uwezo na kipato kikubwa?
Mikoani wanakufa kila aina ya watu, wenye kipato kikubwa na mafukara. Ukikutana nayo haibagui uwezo wako.