Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

NI ugonjwa wa kawaida ila HOFU NDO ITAWAMALIZA.
1.paul dybala aliumwa kapona.
2.rolnado aliumwa kapona.
3.mo salaah aliumwa kapona n.k
Kama Kinga zako za mwili NI DHAIFU lazma utaichukia Corona na kupanic.
Malimao yapo tangawizi zipo.
Chaguo ni lako.
Mtanzania mwenye kipato cha 1600 kwa siku anajilinganisha na R7?
 
Aibu gani?
Hata waziri mkuu wa UK aliugua corona
Jifukizeni badala ya kusubiri lockdown
Aibu sio kuugua Korona bali aibu ni pale unapojaribu kuficha ugonjwa kwa kujiaminisha na kuiaminisha dunia kuwa Taifa lipo salama wakati ugonjwa upo. UK wao wapo wazi kuwa ugonjwa kwao upo na ni hilo liko obvious Mkuu
 
Sema pia na Mimi siwezikupata hiyo kitu.

Mkuu, hiyo kitu hata ukiipata unapambana nayo kivyako.

Magu ameshasema Tanzania hakuna corona, na kuna maeneo hata kuvaa barakoa ni kosa ili kutoenda tofauti na kauli yake.
 
Saivi nipo hospital nina mgonjwa wa covid19 hospital karibu zote kubwa hapa Dar mashine za oxy2zimejaa wangonjwa, manesi na madaktari wamevaa barakoa ila hawalazimishi watu kuvaa isipokuwa CCBRT.

Ugonjwa upo kwa kiasi kikubwa kuliko tunavyofikiria mgonjwa akifa unaambiwa ni "pneumonia" but its corona?

Kama huna mgonjwa ni rahisi.kukoment otherwise ila ukija muhimbili au ukaenda mloganzila nilipotoka mimj ndio utaelewa ukubwa wa tatizo.

Rais anajua ndio.maana amejificha chato kama alivyojificha mwaka jana ugonjwa ukipolipuka
 
ACHA TUFE..
Sisi sio wa kwanza kufa

Serikali ya Jiwe haitaki kuwajibika kwa watu wake. Jiwe anapenda mamlaka lakini kawathamini waliomchagua na ndio maana anaweka mkazo kwenye miradi inayomfaidisha kuliko maisha ya watu .

Akili yake inamtuma kuwa akikubali uwepo wa corona, serikali Itabidi utumie fedha nyingi kukabiliana na huo ugonjwa kwa kununua chanjo hivyo miradi yake kudorola!! Ndio maana anahimiza watu watu mie nyungu!!

Nafikiri hii ni strategy yake. Ila hivi vitu viwili haviko mutually exclusive. Unaweza kufanya vyote viwili.

Kuhimiza watu wachukue tahadhari, avoid mikusanyiko, wash hand often, eat well. Lakini at the same time maisha lazima yaendelee.

Ni ukweli kwamba hata tutumie bajeti yetu yote kwenye Corona hatuweza kuuishinda huu ugonjwa.

USA (over 400,000 death), UK (over 100,000 death). wanatumia zaidi ya bajeti ya Tanzania kila mwezi ila changamoto bado ni kubwa.

Ni elimu, tahadhari umakini ndio unatakiwa. Nafikiri ni Watanzania wengi tu tayari walishapata Corona.

Wengi inawezekana hawakuwa na dalili zozote. Lakini hata ukiwapima wengi unaweza kupata antibodies. ulikuwepo.
 
Saivi nipo hospital nina mgonjwa wa covid19 hospital karibu zote kubwa hapa Dar mashine za oxy2zimejaa wangonjwa, manesi na madaktari wamevaa barakoa ila hawalazimishi watu kuvaa isipokuwa CCBRT.

Ugonjwa upo kwa kiasi kikubwa kuliko tunavyofikiria mgonjwa akifa unaambiwa ni "pneumonia" but its corona?

Kama huna mgonjwa ni rahisi.kukoment otherwise ila ukija muhimbili au ukaenda mloganzila nilipotoka mimj ndio utaelewa ukubwa wa tatizo.

Rais anajua ndio.maana amejificha chato kama alivyojificha mwaka jana ugonjwa ukipolipuka
Leo karudi dodoma sasa napo mtasemaje
 
Kinacho sikitisha zaidi ni pale nionapo Viongozi wanatumia microphone ile ile kwenye mikutano na makongamano nimejaribu kulifatilia hili kwa muda mrefu - hakuna tahadhali yoyote inayo chukuliwa kusema kweli, hii inashangaza sana.

..hujaona wasaidizi wa Jiwe wanatembea na kibox kina microphone yake mwenyewe?

..kwanini unawasikitikia viongozi ambao wana access na huduma nzuri za afya badala ya wananchi wa kawaida ambao wako ktk risk kubwa zaidi?

..Jiwe anapata faida gani kudanganya wananchi kwamba hakuna korona na wako salama?
 
Yaani malimau na tangawizi yawe msaada? Unadhani Covid 19 ni mafua ya kawaida?
Maalimu ameisha tweet huko kuwa anaendelea vizuri,kaisha piga malimau,kama sio mafua ya kawaida mbona Maalimu kapona na umli umeisha mtupa mkono sasahivi anaumli kuanzia miaka 75+ ,na wataamu wanasema umli ukisha kutupa ukipatwa na korona hauombi maji,huku kwetu africa korona ni mafuta ya kawaida tu
 
Atajifungia ndani na kutoka kwa taimingi hasalimiani na watu kama zamani
Hii ndio shida ya wapinzni wa Magufuli awataki kukubali ukweli,hapa mlikuwa mnapiga kelele kuwa Magufuli kakimbilia chato kukwepa corona,utafikiri chato ni mbinguni, Sasa karudi dodoma mnaaza kusema amekuja kujificha,hivi unafikiri Rais ni mtu wa kuzurura hovyo hovyo au anakutana na kila mtu anayetaka kumwona.
 
WE KILAZA!

Tangu covid19 imeanza duniani.
Viongozi wangapi wa kitaifa na kimataifa?
wamepatikana na maambukizi ?

Seif ndio wa kwanza?

Kila siku mnasema tutapukutika,mbona hatuishi?

Acheni umalaya wa mitandao!

Hili janga halina mwenyewe ni la kidunia na sio vema kulitumia kisiasa humu JF.

Muulize Maxence mello ni hivi majuzi tu alikuwa serengeti yeye na gamilia yake.
Je ana tatizo lolote mpaka sasa?
Wewe kajilinde na familia yako na usikae kupiga kelele humu.
Kwani serikali ikitangaza ndio corona itakimbia?
 
Kwa nini usikae kimya kuliko kupost upumbavu unaokuvua nguo kuwa wewe ni mburula?

Mpaka sasa tunaambiwa hakuna maambukizi hapa Tanzania. Kwa nini mamlaka husika haisemi kweli? Maalim kupata ugonjwa sio ishu,ishu ni kutoambiwa na mamlaka husika kuwa kuna maambukizi na kupewa takwimu.

Habari za wanaume kwenda kula bata na familia zao ndio za kuanika humu Jf? Huoni hata aibu!
 
Maalimu ameisha tweet huko kuwa anaendelea vizuri,kaisha piga malimau,kama sio mafua ya kawaida mbona Maalimu kapona na umli umeisha mtupa mkono sasahivi anaumli kuanzia miaka 75+ ,na wataamu wanasema umli ukisha kutupa ukipatwa na korona hauombi maji,huku kwetu africa korona ni mafuta ya kawaida tu
Hoja kubwa ni kupinga kutoambiwa ukweli kuwa kuna maambukizi hapa nchini. Kama amepona ni jambo jema,lakini tukubali ukweli kuwa kuna maambukuzi hapa nchini.
 
Back
Top Bottom