Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

C
inafanya siri,je sisi makabwelatukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Yaani wewe ndio unashtuka baada ya maalimu kuambukizwa?
Too late.
Msimuamini meko corona was here for ages
 
Mi nanawa mikono tu kwa maji tiririka
 
INASHANGAZA SANA KWANINI WASIUTANGAZIE UMMA WA WATANZANIA TU KUWA JANGA LIPO ILI TUCHUKUE TAHADHARI ZOTE,WASIHOFU TUNACHOHITAJI NIKUAMBIWA KWELI NAWALA SIKUJIFUNGIA NDANI COZ GVNMT HAITAKI KUWAJIBIKA KWA WATU WAKE
Ukisema unaisubiria serikali ikutangazie . Haswa serikalii hii.
Ww chukua hatua jikinge.
 
Kila mtu anajuwa corona ipo sasa ni jukumu lako wewe, ndugu, rafiki na jirani kuwa makini na kujikinga haya ya serikali kwa sasa sio muhimu na wala haitasaidia tena maana tumechelewa. Jilinde na walinde usisubiri tamko lolote maana halitakusaidia. Tanzania huko huru kuvaa mask, kunawa mikono na kufunga nyumba yako kwa ugeni usio kuwa wa lazima inatosha na Mungu atatusaidia.
 
Akili za kuambia changanya na za covid 19
F1 Wolff catches COVID and provides Hamilton contract update
7 days ago — Toto Wolff (GER) Mercedes AMG F1 Shareholder and Executive Director.
 
Sasa unataka tufanye nini?
Ugonjwa ndo huo umeshaingia.
Magufuli anawaambia muombeni mungu,mjifukize ,mle malimao na tangawizi.HAMTAKI.
Kila mtu apambane anavyojua mwenyewe.
Huu ugonjwa hauna dawa za MZUNGU.
Ila zile za ASILI zinaonesha mafanikio makubwa lakini hamzitaki.
ACHA MFE
Easy say than done! Kama hukauguza ndugu wiki mbili hizi utasema unavyosema. Ila kesho njoo tutembelee hapa uone mamitungi ya oxygen yalivyojaa waodini
 
Ndugu hhaaa ubishi wao UTAWAMALIZA..
Sasa sijui wanataka wafanyiwe nini.
 
INASHANGAZA SANA KWANINI WASIUTANGAZIE UMMA WA WATANZANIA TU KUWA JANGA LIPO ILI TUCHUKUE TAHADHARI ZOTE,WASIHOFU TUNACHOHITAJI NIKUAMBIWA KWELI NAWALA SIKUJIFUNGIA NDANI COZ GVNMT HAITAKI KUWAJIBIKA KWA WATU WAKE
Kaishasema hata iweje hatatangaza kujifungia ndani. Kama ni kudondoka dondokeni. Kumlazimu kufungia watu ndani kwa sababu yoyote ile sahau. Hilo litamlazimu kuhudumia watu na hivyo miradi yake isimame au ife. Mwepushe na hilo jinamizi. Kuna wenye njaa waliambiwa wafe licha ya kuwepo chakula kwenye ghala ya chakula ya taifa! Utajiuliza hizo ghala za nini? Iwe kuwalisha wa lockdown wakati chakula hakuna thubutu. Madege oyee, sgr juu!
 
Yaani mtu mmoja akisema nyeupe hata kama ni nyekundu wote lazima mkubali
 
Wingu unaliangalia na bado unasubiria kiongozi aje akuambie mvua inakuja kweli?
 
Hivi yule msigwa ofisi ya rais unamuona siku hizi?,unajua yuko wapi?
 

Mkuu, JokaKuu nisieleweke vibaya - nilimaanisha kutoonyesha umakini /tahadhali za kujikinga na gonjwa hili in General, binafsi nikiangalia mikusanyiko ya watu kwenye mikutano na ufunguzi/uzinduzi wa projects halafu watanzania wachache tu wanao vaa barakoa wengi wao ni wenye asili ya kihindi au Kiarabu, nikiona watu wanapuuzia kujiwekea tahadhali halafu wameshonana kwenye ufunguzi/uzinduzi wa projects au mikutano mengine vinyweleo vya mwili wagu unisisimuka, najiuliza hivi hawa Watanzania wenzangu wanajua kwamba wanajiweka kwenye harms way bila ya kujitambua?

You can also feel kwamba baadhi ya viongozi wetu wanasita kuvaa barakoa kwa kuogopa kwamba wakivaa labda umma au viongozi wenzao watawafikiliaje kwamba wanataka kutangazia Dunia kwamba kumbe Tanzania ugonjwa huu bado hupo - kwani hata ikijulikana hivyo kuna aibu gani kuchukua tahadhali, mbona viongozi wa Merikani,Uingereza,Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya na Afrika wanavaa barakoa wanapo kuwa kwenye mkusanyiko wa watu - iweje taifa letu lichukulie vitu kana kwamba bado ni business as usual - binafsi siungi mkono lockdown, lakini tahadhili ziwe reinforced by Wizara ya afya na ma RC wa mikoani.

Tanzania sio kisiwa don't you forget that, tusijidanganye hapa, ukweli wa mambo ni kwamba hakuna vitual Cocoon or Eskimo Gigloo yenye uwezo wa kulinda Taifa letu lisihadhillike peke yetu Dunia nzima, maombi/sala vinasaidia lakini tusivichukulie kana kwamba ni cure all like Panadol/Asprin, Wahaya tuna msemo: "MUNGU MBELA NAIWE OBA ITAILEO AGAWE" kwa maneno mengine Mungu uwasaidia wale tu ambao uonyesha juhudi za kujisaidia wawo wenyewe kwanza, not anything in between.

Haingii akilini kwamba majirani zetu: Kenya, Uganda,Kongo DRC,Rwanda,Burundi,Msumbiji,Ushelisheli,Malawi, Zanzibar na Pemba nchi zote hizo ziwe na hali mbaya ya maambukizi, sisi ndio tuwe exceptional - something is dead wrong down the line - the sooner we rectify the situation the better na wala Dunia haita tucheka kwamba mbona Tanzania walijifanya hakuna ugonjwa wa KOVID - sasa kiko wapi? Tusifike huko tafadhali. Maoni yangu.
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Du siamini hata wewe Chagu wa Malunde unaigeuka serikali yako sikivu kupitia chama chako makini CCM ase!!!

Kwani kuna nini huko Lumumba au bando la buku saba kwa kupandisha uzi wa mapambio limekata nini ???

Si mnavumiliana tu jamani hali zenyewe zinajulikana hizi sasa mbona kama unawachenjia wenzio tena

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Soon tutaongea lugha moja bado kidogo sana twendeni tu mdogomdogo namsubiri Leslie Mbena nae age ageuke na ile Bacholor yake ya Business Administration [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyor korona Ni kwa ajili ya makabwela.Unashangaa nn Maalimu kupata korona,yy maarufu kuliko kina Trump, UK PM.
Kwa hiyo ulifikiri Zanzibar na DSM au Tz kwa ujumla Ni kisiwa kisichofikiwa na korona.
Na hizo serikali duniani wanakokufa kwa maelfu,ni aibu kwao kufa.Inaonesha Tz is so spesho sana.
La msingi uliloandika Ni kuchukua tahadhari zote za kujikinga.a kikubwa kuondoa HOFU.
 
Mimi bado nasubiri serikali ya Tanzania itoe taarifa ya kukanusha hii taarifa.
Otherwise ni aibu kwa taifa.
Yaani Corona itafune wananchi weee, itafune viongozi weee, bado serikali iko kimya.
 
Tatizo la wabongo ndio hili,mtu akisema ukweli mnaleta tafsiri zenu za kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…