Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

Mkuu piga nyungu acha kulalamika...
 

..asante kwa ujumbe huu wa ufafanuzi.

..samahani sikukuelewa vizuri ktk post yako ya awali, lakini hapa nimekuelewa vizuri kabisa.
 
Tatizo la wabongo ndio hili,mtu akisema ukweli mnaleta tafsiri zenu za kitoto.
Cool down Kaka usihamaki relax you will be fine usitokwe povu bure. Ni hivi Bro! Kila mtu anaamini kile ambacho kwa upande wake ni sawa na sahihi, kitu ambacho kwa upande wa mwingine kinaweza kupingwa na kuonekana si sawa na pengine kikatazamwa kama ni uongo au uzushi tu

Kama ambavyo unaamini katika utawala uliopo ambao kwako ni sahihi same way mimi ni muumini wa upinzani ambao kwangu mimi ndio sahihi na kwamba utawala uliopo ni wa kidhalimu na umejaa ubabaishaji mkubwa maisha ni mtazamo na kila mtu ana mtizamo wake

Nakupa muda kidogo wa kujikaza kisabuni japo dalili zinaonyesha ushaanza kulegea kwa sababu mnaemuamini anadhihiri kuwa hafai mbele ya macho na masikio yenu

Karibu kundini japo huku kwenye kundi letu wote tumekatwa mguu mmoja, kwa hiyo ili uwe mwanakikundi ni lazima ukatwe mguu mmoja ili ufanane na sisi lakini pia wenzio wapate kukuona na kisha wajue kuwa wewe sio mwenzao tena kwa sababu huna mguu mmoja [emoji16]

Huku kwenye kundi letu hatutaki wanafiki ndio maana lazima ukatwe mguu kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ... nina imani kubwa sana kama Taifa mpaka mwezi July 2021 tukijaaliwa kuwa hai zaidi ya 80% ya watanzania hasa wale buku saba wote tutakua tumekatwa mguu mmoja na kulia kilio kimoja cha kumpinga mdhalimu na matendo yake yasiyo jali utu wa mtu

Karibu sana bwana Chagu wa Malunde karibu kwa mikono miwili nimefurahi sana kuona akili yako inaanza kuelewa na huenda soon ukawa ni mmoja miongoni mwetu ikiwa tu utakubali kukatwa mguu wenzio wakuone una mguu mmoja karibu sana boss!!!

MAENDELEO YANA CHAMA ILA SIO CCM!!!
 
Ngoja nicheke.
 
Ngoja nicheke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ... usicheke sana cheka kidogo tu maana kicheko kikizidi huzaa kelele zinazo ashiria kilio ukizingatia mpaka sasa gari limeacha njia haijulikani tunaelekea wapi nahofia sana ikiwa gari litatumbukia mtoni maana binafsi sijui kuogelea sijui we mwenzangu labda umevaa life jacket mwenzetu [emoji16][emoji16][emoji16]

Usiku mwema [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Sasa unataka mtu asiseme ugonjwa anaougua kisa .......
 
wacha kuwahadaa watu, wazri mkuu uingereza, yule wa kanada, viongozi mbalimbali wa marekani wameripotiwa kuugua kwa vile wanakutana na watu mbalmbali. Kuna ajabu ipi huyu kuugua covid 19?
 
kuugua sio aibu wewe hii, sasa ingekua kipindupindu ndio ungesema aibu kwakua kipindupindu ni kula mavi freshi, hilo la maalim napingana na wewe kabisa hakuna aibu hapo maana hata wewe huwezi kujua utaupatia wapi huo ugonjwa, kaugua Trump aliyekua Rais wa Dunia (Marekani) hata waziri Mkuu wa Uingereza kaugua sembuse sisi huku wakata nyasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…