Kahorogoma
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 318
- 252
Mimi nashangaa ndugu zangu watanzania sasa mtumie akili zenu kung'amua ukweli hivi kweli wazungu hawa ni hatare maana wamekuja na covid mpya yaan hii eti kirusi kimebadilika kutoka n185 mpaka n480 na jina limebaki lilelile afu eti hiki kinaua haraka sana hivi inaingia akilin kwel yaan kirusi gan hicho kimebadiloka na kuanza kuua haraka naomba tutafakari mimi binafsi nimegundua hivi virus vinatengenezwa maabara na kuna watu nyuma ya hili ila lengo lao sijalijua kabisa