Hili la maambukizi ya ajabu ya COVID-19 litapita na mtabaki mmeumbuka

Mimi nashangaa ndugu zangu watanzania sasa mtumie akili zenu kung'amua ukweli hivi kweli wazungu hawa ni hatare maana wamekuja na covid mpya yaan hii eti kirusi kimebadilika kutoka n185 mpaka n480 na jina limebaki lilelile afu eti hiki kinaua haraka sana hivi inaingia akilin kwel yaan kirusi gan hicho kimebadiloka na kuanza kuua haraka naomba tutafakari mimi binafsi nimegundua hivi virus vinatengenezwa maabara na kuna watu nyuma ya hili ila lengo lao sijalijua kabisa
 
 
Unasubiri tamko lipi wakati Magufuli keshasema Corona ilishatinga kitambo na ililetea na hao waliofuata chanjo nje ya Nchi?
 
Ndugu yangu hii ni covid 19 haina masihara.uchumi utadondoka,watu wengi watapoteza maisha.hebu jaribu kutembelea mahospitali yote ya dar ujionee mwenyewe.hali ni tete lakini wakati huo huo watu inabidi wafanye kazi kutafuta maisha.serikali ya awamu ya tano ni SIKIVU mno.nadhani kutakuwa na mpango wa kutuchoma kinga yaani Vaccine.kusema itapita hivi hivi si sahihi.watu milioni 100 wanaugua duniani kote.kwa taarifa tu ni kuwa hii covid 19 ya sasa ni wimbi jipya la huu ugonjwa.tupo kwenye uchumi wa kati,maadui zetu hawapendi na ndio wanaotuletea balaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…