D
DeletedMember281674
Guest
Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja.
Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku.
Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni Michezo tu ya wanasiasa hiyo ni script imeandaliwa ili wananchi muingie kwenye mfumo.
Poleni Sana Wananchi kwa kuchezewa akili zenu. Huyo VP hayupo Upande wenu, yeye yupo kuhakikisha analinda kibarua chake na ugali wake wa watoto wake.
Msimuamini mpotezeeni