Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,132
Ubadhirifu upo muda mrefuVery soon hii nchi inaenda kukombolewa upya na CCM inaenda kufa rasmi labda watuue watanganyika wote
Wizi, Ufisadi na Ubadhirifu unaofanywa katika Awamu hii ya 6 haijawahi kutokea tangu Tanganyika ipate Uhuru na wananchi wameamka Kwamba anayetusababishia maumivu yote haya ni namba Moja na Chama chake, biashara zimekuwa ngumu, Ajira hakuna, lakini watu wanatuletea Ferdinand na Droba na wanatamba na GWagon Mjini
Haki ya MUNGU, haya ngojea tusikilizie hii mbanga itakavyokuwa
Channel your anger properly