D
Mimi nimekataa akili yangu kuchezewa!Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja.
Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku.
Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni Michezo tu ya wanasiasa hiyo ni script imeandaliwa ili wananchi muingie kwenye mfumo.
Poleni Sana Wananchi kwa kuchezewa akili zenu. Huyo VP hayupo Upande wenu, yeye yupo kuhakikisha analinda kibarua chake na ugali wake wa watoto wake.
Msimuamini mpotezeeni
Tena hawa ccm wabinywe hasa mpaka watie adabu pumbavu zao.Kwa siku 30 na 60 zilizotolewa na Jumuiya ya Madola, tutegemee kuzisisikia kauli nyingi kama hizi kutoka ndani ya CCM na serikali yake batili.
Ukiona viongozi wanapishana kauli na mitazamo, basi tambua mbinyo kutoka jumuiya ya kimataifa umewapata kisawasawa. Walifikiria kuwa "sovereign" ni kuweza pia kupuuzia mikataba ya kimataifa ambayo nchi ilikwisha kuiridhia hasa inayohusu haki za binadamu na masuala ya kidemokrasia.
Sawa ila wametuweza Sana maana wametuweka busy since yesterdayKumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja.
Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku.
Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni Michezo tu ya wanasiasa hiyo ni script imeandaliwa ili wananchi muingie kwenye mfumo.
Poleni Sana Wananchi kwa kuchezewa akili zenu. Huyo VP hayupo Upande wenu, yeye yupo kuhakikisha analinda kibarua chake na ugali wake wa watoto wake.
Msimuamini mpotezeeni
And they have known we are not stupid they are passing seeing our commentsSawa ila wametuweza Sana maana wametuweka busy since yesterday
Yeye "kidogo zimo"!We kidogo zimo
Ndio maana Matahira wengi wa kisiasa huwakosi kwenye Mipira
Ni pombe ileile ya kulewesha Matahira kwa level zao
Binadamu timamu kamili anawezaje kuwa shabiki.!
Ushabiki ni kipimo cha utahira
Ndio nnazo nyingi, so unawiwa nini wewe BwegeYeye "kidogo zimo"!
Halafu wewe mwenye "nyingi zimo", angalia uchafu ulioweka hapa!
Hizo "nyingi" unazofikiri unazo ndizo zinazokufanya uwe chizi kama unavyoonekana humu JF?Ndio nnazo nyingi, so unawiwa nini wewe Bwege
And they have known we are not stupid they are passing seeing our comments
And they are stupid the problem is most of Tanzanians do not use social media
Rural areas etc
One thing CDM Must do is reach Rural areas expose CCM without panic just educate people educate them on their rights on plays of ccm
Tanzanians have already shown what they can do by Coming outside on October they need more education more reasons
And we need to change our constitution even if CDM enters into power with current constitution Heche forexample when he sees minister of sports let's say Sugu have done mischievous he won't take him into accountable
We need to change the structure and if CDM means it they should campaign on that
Katambi is just a mad puppetWhat do you think is the reason Katambi banned political rallies? CHADEMA came up with a strategy of holding rallies in different regions and providing Civic Education on Rights, Corruption and Government Waste. The brutal CCM Government decided to stop the rallies because they saw that people were being enlightened. And if it spreads even to the villages now, they will really shake things up.
Katambi is just a mad puppet
Tutafika wanakotaka