Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

Kule China na nchi nyingine wamezungukwa na bahari na bado wanafuga samaki ambao huuzwa duniani kote, hii ni biashara acha uzuzu wewe mla vibua, tukifuga huku bara chondechonde msije anza kutaka mapato yatokanayo na ufugaji wa samaki tugawane sawa,kwa maana nyie hamkuwii kudai ''chenu chetu na chetu si chenu'' acheni uvivu fugeni hao samaki,samaki wa kufuga ni rahisi kuwa control na una kuwa na hakika nao tofauti na hao wa baharini au ziwani.
 
Wazanzibari wanakula konokono
 
Kauli dhidi ya samaki ilete chuki, lakini mauaji yasilete? Umeishiwa hoja mkuu.
Naongelea maneno ya dharau dhidi ya samaki kwa watu wa ziwa Victoria.

Hayo masuala ya mauaji yapo miaka na miaka. Utatuzi wake ni mpana na wa kisiasa.
 
Mbunge hataki kujaribu kitu kipya maishani anataka abakie katika ile ile comfort zone iliyozoeleka
 
Naongelea maneno ya dharau dhidi ya samaki kwa watu wa ziwa Victoria.

Hayo masuala ya mauaji yapo miaka na miaka. Utatuzi wake ni mpana na wa kisiasa.
Hata hili la samaki nalo litakuwa la miaka na miaka, kwani tuna utamaduni wa kufumbia macho uovu wa wanasiasa.
 
Hapa natoa mrejesho wa uhalisia, ww mwenzangu naona una uchungu na samaki wa maji baridi kukataliwa na wazenji.
Uzi huu unaongelea suala la samaki na ninaamini kuna nyuzi nyingi tu zenye kuongelea masuala ya mauaji ya Zanzibar.
 
asik
asikuumize kichwa, hana maarifa hajui hata kwamba samaki wa ziwa victoria maji baridi wakipandikizwa kwao huko bahari yao maji chumvi hawatastahamili. haelewi hata osmosisi nini na mwishowe atasema wabara wasikanyage zenj
 
asik

asikuumize kichwa, hana maarifa hajui hata kwamba samaki wa ziwa victoria maji baridi wakipandikizwa kwao huko bahari yao maji chumvi hawatastahamili. haelewi hata osmosisi nini na mwishowe atasema wabara wasikanyage zenj
Okay kumbe ni suala la ukosefu wa elimu. Kaongea kwa kujiamini kabisa kumbe anastahili kupewa shule zaidi.
 
Kama hamli tunachokula tumieni lugha ya staha, sio kuonyesha kwamba sisi tunaokula ni kama vile tunakula vitu vya ajabu.
Z'bar haiwezi survive bila bara: Hata nyama ya bucha inatoka kariakoo, lakini hiyo isiwe sababu kwa wartu fulani kuleta miradi ya hovyo!
 
Eti hao wa bara ni kibudu
 
Ni haki yake kutoa mawazo yake. Na isitoshe siyo azimio la baraza zima.
 
Nilimsikia na mimi yule muwakilishi huko Zenj.
Lakini ni kama alikuwa amepagawa na hajui kile anachotaka, ni kama mjinga mjinga fuani hivi.
Bishara ni huria, yeye hataki samaki sato wala kambare, halafu bahari imemzunguka.
Kaa si mwehu sijui utamwelewaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…