Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

Fugeni nyie mtajirike mkuu
 
Fugeni nyie mtajirike mkuu
Msije kutuomba kodi zetu zitakazotokana na kuuza kambale Uarabuni kwa maana hamkawii kudai kuwa ni haki yenu ama la sivvyo mtavunja muungano na mkivunja muungano itabidi wengine warudi Zenj wakiwa hawana kazi bwashee😂😂😂😂
 
Kimsingi muungano uvunjwe, wazanzibar wanatudharau sn
Kuwa makini na kauli kama hii ni jinai kubwa kabisa,Usiongozwe na hisia.This is treason watch out.Usione hufwatiliwi ukafikiri huonekani.Unahurumiwa
 
Yaani Muunguja ademke kuhusu samaki wa Ziwa Victoria wewe utoe povu? Acha kudemka bwana!
 
Mimi hushangaa kwa nini na bahari kubwa vile lakini wabara hawali samaki wa baharini?

Culture dominance ndo inasababisha wabara wasijifunze kula kamba na kolekole.

Binafsi napenda red snipper na sato.
 
Hayo maneno yake yamekukera kuliko njia waliyotumia ya mauaji kuingia madarakani? Kama wazenji wengi waliuwawa na kuachwa na vilema vya maisha, na uliona sawa, ni kipi kinakuimiza sasa kuhusu kejeli ya samaki?
Hakuna kitu hapa, tafuteni jingine. Kuna siku mbunge wa Morogoro wa CCM alikataa kula senene za Bukoba? Unajua kwamba wabunge wa Tanga hawali nguruwe kama Wabunge wa Tarime? Unajua kuwa Wabunge wa Shinyanga hawali panya kama Wabunge wa Mtwara? Huu ndiyo utajiri wa Tanzania, tunasherehekea tofauti zetu na kutukuza Muungano wetu, wasalit wetu wabataka kutuconganisha. ZFZMWCCM.
 
Hayo maneno yake yamekukera kuliko njia waliyotumia ya mauaji kuingia madarakani? Kama wazenji wengi waliuwawa na kuachwa na vilema vya maisha, na uliona sawa, ni kipi kinakuimiza sasa kuhusu kejeli ya samaki?
Kama walitumia njia ya mauji sasa ilikuwaje nyie wapinzani njaa muunge mkono SUK? Mbona Chadema hawakuwakemea ACT? Acha unafiki.
 
Hawa akina yakhe wana matatizo sana, uwezo wao wa kufikiri unaishia palepale kisiwani kwao, sasa namkumbuka yule mzee aliyekuwa mbunge sijui wa Mpanda vile.
wewe samaki wapo wengi zanzibar kwani unaleta mradi wa kuipa pesa zanzazibar ,kama shida ni kufanya biashara nenda Tabora
 
Hawa akina yakhe wana matatizo sana, uwezo wao wa kufikiri unaishia palepale kisiwani kwao, sasa namkumbuka yule mzee aliyekuwa mbunge sijui wa Mpanda vile.
Kwa matatizo hatuwashindi machogo,mtu akinunua gari nzuri gumzo tanganyika nzima mitandanoni habari ndio hio,tumemludisha kambale nongwa.mbona mnakasirika hovyohovyo mna mimba nini ?
 
Mbona amewasilisha hoja yake vizuri tu. Hajaonyesha dharau bali kaongea ukweli. Nafahamu watu wengi sana wa kanda ya ziwa ambao hawali samaki wa baharini.
 
watanzania tuna viongozi washenzi sana.Nchi imezungukwa na bahari,wanataka kufuga sato ili iweje??hizo billions wawekeze kwenye elimu
 
Muungano nikama koti/nguo ,ikibana tupakule ikachakaa choma moto
 
Kama walitumia njia ya mauji sasa ilikuwaje nyie wapinzani njaa muunge mkono SUK? Mbona Chadema hawakuwakemea ACT? Acha unafiki.

Cdm wakemee ACT kwani wako ni wasimamizi wa vyama vya siasa?
 
Kimsingi muungano uvunjwe, wazanzibar wanatudharau sn
Kwa ajili ya samaki tu??
Mi sio mzanzibar ila hao sato na sangara hunilishi!
Yani niache kupochoa changu ,kolekole , koana , tasi and the likes nianze kulansmaki hawana hata ladha, !!! samaki gani hakubali nazi !
Na hizi tetesi kuwa ziwa limekuwa contaminated na zebaki za kwenye migodi ndo kabisaaaa sitaki hata kuwaona , maana kanda ya ziwa ipo juu kwa kansa , kwa sababu ya zebaki.
 
Tuwaze vizuri kwa akili zetu alizotupa Mungu. Hivi unajua tani moja ya Sato ni shilingi ngapi? Hivi unajua mahitaji ya hao samaki kwenye soko nje nchi yakoje? Aliyekuambia ule kambare ni nani. Au mnataka wenzenu wafuge halafu mje kwenye meza ya mgao wa mapato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…