Ndiyo ni wa ajabu ajabu,sasa kama hatuwez kuwala na hawana ladha tueaiteje sheikh?? Kuleni wenyeweWao hawahitaji Kambale na Sato samaki wa "ajabu ajabu" wao samaki wao ni Changu, kolekole, Nguru, Tasi.
Kambale na Sato hawana soko huko kwao hivyo serikali haina haja ya kutumia Bln of money kuzalisha samaki hao kwani hawatapata soko huko.
Hayo ni maoni yake kama mbunge/muwakilishi wa Wananchi wa huko, shida ni pale anapowaita Kambale na Sato samaki wa "ajabu ajabu" utadhani kwamba anaweza kuumba hata gamba moja tu la Sato!!--- ana kiburi sana huyo.
Siyo kila kinacholiwa na watu kinaeleweka mbona majongoo wanayokula wachina unawaita wadudu?? Kwani siyo watu wale??Huwezi kukiita chakula wanacho kula ndugu zako kuwa ni chakula cha HOVYO HOVYO.
Siyo dharau ndo ukweli,bara na mapishi wapi na wapiWazenji wanazarau sana,hata mapishi yetu ya bara wanayaona ni ya hovyo hovyo Kama vile tunachemsha tu nakula,lakini wao hawachemshi bali wao ndiyo wanapika chakula Safi!!!
Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.
View attachment 2252519
Nashindwa kuelewa tofauti zao hao wawili ...msaada pleaseHuyo ni Mwakilishi na si Mbunge..
Huu muungano fake uvunjwe haraka snJamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.
View attachment 2252519
Hawa jamaa kamwe ubaguzi hawawezi kuwacha.Huu muungano fake uvunjwe haraka sn
Hajitambui kabisa na haya ndiyo matatizo ya ccmYou can imagine, huyo ndio chair au sijui speaker, cheka yake tu, unajua huyo ni kihiyo of all kind, lowest IQ of its kind.
Utaona na CDF atatoka Zanzibar, tuvumilie tu hakuna namna wamekamata kotekote, Zanzibar inakopa bara tunalipa madeni yao, jamaa umeme kwao ni 27,000 na wakati unatoka TANESCO bara sisi 300,000+ mambo ya hovyo kabisaHawa jamaa kamwe ubaguzi hawawezi kuwacha.
Dharau na ujinga bado unaujengea kibanda karne hii ya 21?Siyo dharau ndo ukweli,bara na mapishi wapi na wapi
Jamaa ni washirikina haswa vyeo vyao ni vya ugangaYou can imagine, huyo ndio chair au sijui speaker, cheka yake tu, unajua huyo ni kihiyo of all kind, lowest IQ of its kind.
Kwa hiyo watanganyika ndiyo wachina?Siyo kila kinacholiwa na watu kinaeleweka mbona majongoo wanayokula wachina unawaita wadudu?? Kwani siyo watu wale??
Wote hao ni mazao ya kuhujumumiwa kwa uchaguziUngesema Sasa kwamba tatizo ni uchaguzi wa maneno ujikite hapo. Wabunge wanaorukaruka satakasi bungeni usiwasahau pia.
Tumia akili wewe , tangu lini chakula anachokula ndugu yako ukakiita cha HOVYO HOVYO?Huo ubaguzi uusemao mbona sijauona?
Ubaguzi wa kusemea kambare? Mbona hata Wasabato hawali kambare? Au kuna kitu mleta mada sijakielewa, maana nimeisikiliza clip uliyoileta, "mbunge" analalamika mapesa kibao kutumika (naona ni mwakilishi huyu, Zanzibar) kuanzishwa ufugaji wa kambare wakati wao hawana soko la kambare kwa kuwa hawali kambare.
Sasa ubaguzi hapo ni upi?
Tazama hii ndio utaona waziri/ mbunge alivyo mbaguzi wa wazi kabisa...
Licha ya kauli ya kibaguzi tu ni kauli ya ubaguzi wa kidini kabisa. Tena ameyasema hayo akiwa kanisani huku akoitamba. Umeshalikemea hili?
Lakini Mwenyezi Mungu ni mkubwa, haikupita muda, Mbunge na waziri huyo huyo Mwanawe wa kike akaolewa na kijana Mzanzibari, Muislam, na sasa analea watotowa Kiislam, na nna uhakika na yeye kishakuwa Muislam.
Kama haitoshi, mama Samia kamweka anapostahiki. Hasikiki kabisa, kafungwa kidomo-domo kidiplomasia.
Najua wewe unamtetea huyo aliyesema hayo kisa ni mdini mwenzako.Huo ubaguzi uusemao mbona sijauona?
Ubaguzi wa kusemea kambare? Mbona hata Wasabato hawali kambare? Au kuna kitu mleta mada sijakielewa, maana nimeisikiliza clip uliyoileta, "mbunge" analalamika mapesa kibao kutumika (naona ni mwakilishi huyu, Zanzibar) kuanzishwa ufugaji wa kambare wakati wao hawana soko la kambare kwa kuwa hawali kambare.
Sasa ubaguzi hapo ni upi?
Tazama hii ndio utaona waziri/ mbunge alivyo mbaguzi wa wazi kabisa...
Licha ya kauli ya kibaguzi tu ni kauli ya ubaguzi wa kidini kabisa. Tena ameyasema hayo akiwa kanisani huku akoitamba. Umeshalikemea hili?
Lakini Mwenyezi Mungu ni mkubwa, haikupita muda, Mbunge na waziri huyo huyo Mwanawe wa kike akaolewa na kijana Mzanzibari, Muislam, na sasa analea watotowa Kiislam, na nna uhakika na yeye kishakuwa Muislam.
Kama haitoshi, mama Samia kamweka anapostahiki. Hasikiki kabisa, kafungwa kidomo-domo kidiplomasia.
Sijui kwanini tuna wang!ang!ania.Wazenji wanazarau sana,hata mapishi yetu ya bara wanayaona ni ya hovyo hovyo Kama vile tunachemsha tu nakula,lakini wao hawachemshi bali wao ndiyo wanapika chakula Safi!!!
Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.
View attachment 2252519
Kitu cha ajabu ni kile kitu ambacho hakijazoeleka machoni mwa wenyeji,Amewaita kuwa ni SAMAKI WA AJABU AJABU ina maana watanzania bara wanakula vyakula vya ajabu?
Mtazamo wako unaheshimiwaKitu cha ajabu ni kile kitu ambacho hakijazoeleka machoni mwa wenyeji,
Bila shaka mkuu kwa tafsiri yako umetafsiri kua ni kama kashfa,
Hatuwezi kuhukumu moja kwa moja,labda muhusika atoe tafsiri yake ya neno Ajabu ajabu.