Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

Ubaguzi aliofanya muwakilishi ni kuwabagua sato na kambale, amewafanyia discrimination. Lazima hawajisikii vizuri huko Victoria

Sema, baraza la wawakilishi mjengo wao upo simple na standard
 
Wao hawahitaji Kambale na Sato samaki wa "ajabu ajabu" wao samaki wao ni Changu, kolekole, Nguru, Tasi.

Kambale na Sato hawana soko huko kwao hivyo serikali haina haja ya kutumia Bln of money kuzalisha samaki hao kwani hawatapata soko huko.

Hayo ni maoni yake kama mbunge/muwakilishi wa Wananchi wa huko, shida ni pale anapowaita Kambale na Sato samaki wa "ajabu ajabu" utadhani kwamba anaweza kuumba hata gamba moja tu la Sato!!--- ana kiburi sana huyo.
Ndiyo ni wa ajabu ajabu,sasa kama hatuwez kuwala na hawana ladha tueaiteje sheikh?? Kuleni wenyewe
 
Wazenji wanazarau sana,hata mapishi yetu ya bara wanayaona ni ya hovyo hovyo Kama vile tunachemsha tu nakula,lakini wao hawachemshi bali wao ndiyo wanapika chakula Safi!!!
Siyo dharau ndo ukweli,bara na mapishi wapi na wapi
 
Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.

Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.

Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.

View attachment 2252519

You can imagine, huyo ndio chair au sijui speaker, cheka yake tu, unajua huyo ni kihiyo of all kind, lowest IQ of its kind.
 
Huu muungano fake uvunjwe haraka sn
 
You can imagine, huyo ndio chair au sijui speaker, cheka yake tu, unajua huyo ni kihiyo of all kind, lowest IQ of its kind.
Hajitambui kabisa na haya ndiyo matatizo ya ccm
 
Hawa jamaa kamwe ubaguzi hawawezi kuwacha.
Utaona na CDF atatoka Zanzibar, tuvumilie tu hakuna namna wamekamata kotekote, Zanzibar inakopa bara tunalipa madeni yao, jamaa umeme kwao ni 27,000 na wakati unatoka TANESCO bara sisi 300,000+ mambo ya hovyo kabisa
 
Siyo kila kinacholiwa na watu kinaeleweka mbona majongoo wanayokula wachina unawaita wadudu?? Kwani siyo watu wale??
Kwa hiyo watanganyika ndiyo wachina?

Tofautisha tamaduni za wachina na watanzania.
 
Huo ubaguzi uusemao mbona sijauona?

Ubaguzi wa kusemea kambare? Mbona hata Wasabato hawali kambare? Au kuna kitu mleta mada sijakielewa, maana nimeisikiliza clip uliyoileta, "mbunge" analalamika mapesa kibao kutumika (naona ni mwakilishi huyu, Zanzibar) kuanzishwa ufugaji wa kambare wakati wao hawana soko la kambare kwa kuwa hawali kambare.

Sasa ubaguzi hapo ni upi?

Tazama hii ndio utaona waziri/ mbunge alivyo mbaguzi wa wazi kabisa...

Licha ya kauli ya kibaguzi tu ni kauli ya ubaguzi wa kidini kabisa. Tena ameyasema hayo akiwa kanisani huku akoitamba. Umeshalikemea hili?

Lakini Mwenyezi Mungu ni mkubwa, haikupita muda, Mbunge na waziri huyo huyo Mwanawe wa kike akaolewa na kijana Mzanzibari, Muislam, na sasa analea watotowa Kiislam, na nna uhakika na yeye kishakuwa Muislam.

Kama haitoshi, mama Samia kamweka anapostahiki. Hasikiki kabisa, kafungwa kidomo-domo kidiplomasia.
Tumia akili wewe , tangu lini chakula anachokula ndugu yako ukakiita cha HOVYO HOVYO?
 
Najua wewe unamtetea huyo aliyesema hayo kisa ni mdini mwenzako.
 
Wazenji wanazarau sana,hata mapishi yetu ya bara wanayaona ni ya hovyo hovyo Kama vile tunachemsha tu nakula,lakini wao hawachemshi bali wao ndiyo wanapika chakula Safi!!!
Sijui kwanini tuna wang!ang!ania.
Tungewaacha waishi kivyao tu
 
Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.

Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.

Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.

View attachment 2252519

Ubaguzi gani sasa, mbona kaongea kitu cha kweli kabisa.
 
Amewaita kuwa ni SAMAKI WA AJABU AJABU ina maana watanzania bara wanakula vyakula vya ajabu?
Kitu cha ajabu ni kile kitu ambacho hakijazoeleka machoni mwa wenyeji,
Bila shaka mkuu kwa tafsiri yako umetafsiri kua ni kama kashfa,

Hatuwezi kuhukumu moja kwa moja,labda muhusika atoe tafsiri yake ya neno Ajabu ajabu.
 
Mtazamo wako unaheshimiwa
 
Back
Top Bottom