Kwanini huku endelea na masomo baada ya kumaliza shule ya msingi?Nakumbuka nikiwa shule ya msingi, somo la GHC mwalimu alinifunza kutumia nyuzi kupima urefu wa barabara iliyo na corners. Hivi kina geza ulole hawajui kitu cha msingi kama hicho?
SGR nbi to mbsa ni 500km.
Humu jf bwana Kila mmoja yupo Juu
Hakuna Fukara
Na wote wamesha tembea nje[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23]Kwanini huku endelea na masomo baada ya kumaliza shule ya msingi?
Yaan ww jamaa una kiwango DHAIFU sanaa cha kushawishi watu na kujenga HOJA swala la kuconnect SGR na MGR ni new alternatibe baada ya kukosa MKOPO nikukumbushe UK na RO walipeleka OMBI la mkopo kule china last week wakaambiwa economically iyo root haina faida uki compare na root ya mombasa to nairobi ambapo ili score 70% .. Ss usitape tape hapa maana kunyimwa mkopo sio KOSANimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki
Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba
Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu
Nimesema elimu yako ni fupi kijana.
Nimekupatia distance ya kutoka Mombasa to Malaba Uganda ni 927km. Maana yake urefu wa reli utakuwa zaidi ya 1000km.
Nairobi to Naivasha is 91km
Mombasa to Nairobi is 486km
Huoni kufika Malaba inahitajika nguvu nzito!?
Yaan ww jamaa una kiwango DHAIFU sanaa cha kushawishi watu na kujenga HOJA swala la kuconnect SGR na MGR ni new alternatibe baada ya kukosa MKOPO nikukumbushe UK na RO walipeleka OMBI la mkopo kule china last week wakaambiwa economically iyo root haina faida uki compare na root ya mombasa to nairobi ambapo ili score 70% .. Ss usitape tape hapa maana kunyimwa mkopo sio KOSA
Mkuu ccm wasikuumize akili, bora mchina achukue kuliko huyu jiwe wetu ametumia pesa zetu za mafao kwenye ujenzi usio na mbele wala nyuma halafu sasa wastaafu wanahangaishwaNimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki
Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba
Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu
Route ya Dar - morogoro faida iko?Yaan ww jamaa una kiwango DHAIFU sanaa cha kushawishi watu na kujenga HOJA swala la kuconnect SGR na MGR ni new alternatibe baada ya kukosa MKOPO nikukumbushe UK na RO walipeleka OMBI la mkopo kule china last week wakaambiwa economically iyo root haina faida uki compare na root ya mombasa to nairobi ambapo ili score 70% .. Ss usitape tape hapa maana kunyimwa mkopo sio KOSA
MaCCM ni mang'ombe.Nimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki
Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba
Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu
Nyie si mmepewa soko la maparachichi!ridhikeni na hilo soko but mkopo no,pambaneni na hali yenu,kwa taarifa yako tu jana jpm kafungua bonge la kiwanda cha parachichi ndani ya green city,nyang'au parachichi zenu pelekeni china
Haijalishi labda muyazingire kwa ukuta, Wachina ni zaidi ya bilioni moja, hivyo maparachichi yetu hayatatosha, itatubidi kukusanya na ya TanzaGanda.
MtihaniAhaaa haaa haaa
Mfano ukiwa namanga ukaenda mpaka kajiado tayari uko nje ya nchi.
Utaijenga SGR ipi isiyo pitia MorogoroRoute ya Dar - morogoro faida iko?
We na ww ni tayo kweli ...kwan SGR ya tz ina ishia Moro ? Ss iv wa turkey wapo makutubora ss we unasemeaje moro ? Au hujui lengo la SGR ya tz mzee mbaba tukusaidieRoute ya Dar - morogoro faida iko?
Kweli wewe ni mbumbumbu. Umbali kutoka Nairobi to Naivasha ni 91 km. Dar to Chalinze 100kmConstruction of the 120km Nairobi-Naivasha standard gauge railway (SGR) is 90 percent complete, 16 months after work on the project started. https://www.businessdailyafrica.com...pc-complete/4003122-5032960-v964n9/index.html
Wewe Ndio wanaokula Mapango pori. rejea jiwe msingi liliwekwa lini? Na JPM alishika uingozi lini. Ukumbuke, Kwanza Tanzania walianza mazungumuzo na wachina wakashindwana tangu 2016/17 Ndipo waliamua Tanzania wajenge Kwa pesa za ndani. Ndipo waliamua wakened Kwa kutumia waturuki. Wakwanza kujenga RELI 2018. Kwa Sasa Wapo 52%wacha kutulisha matango pori. miaka minne ndio sasa munafika 50% kisha baada ya miezi sita inayokuja (Nov) mutakua munapokea nini wakati miaka minne sasa hamuelewekieleweki
Utaijenga SGR ipi isiyo pitia Morogoro
Faida sio lazima leo au uishuhudie wewe kwa wakati wako
Hakuna Reli itakayo toka Dar isipitie Morogoro
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app