Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Nimejaribu kukuelimisha reli haifuati mkondo wa barabara, nakuacha maana mlivyo, hata tukikesha hapa haitokuja uelewe.
 
Hahahahaaa wao kinachomata ni GDP wanayoambiwa na mzungu hebu tusiwaamshe ili wakija shtuka wabak wanashangaa na middle income jina yao
 
wacha kutulisha matango pori. miaka minne ndio sasa munafika 50% kisha baada ya miezi sita inayokuja (Nov) mutakua munapokea nini wakati miaka minne sasa hamuelewekieleweki
Reli imeanza kujengwa 2018.
 
We jamaa bwana yenu gari moshi speed max 120km/h, ya mizigo 80km/h utalinganisha na ya Mturuki? Sisi tunakarabati reli ya zamani 900km from Dar to Isaka na mchina yupo site.Sisi zote zinakwenda sambamba ya zamani inakarabatiwa na SGR inajengwa.
 
Nimejaribu kukuelimisha reli haifuati mkondo wa barabara, nakuacha maana mlivyo, hata tukikesha hapa haitokuja uelewe.
Hapa nadhani tunaongea kitu kilekile katika degree tofauti.
Mimi naongelea hatika highest degree wewe unaongelea katika layman level.
 
Utaijenga SGR ipi isiyo pitia Morogoro
Faida sio lazima leo au uishuhudie wewe kwa wakati wako
Hakuna Reli itakayo toka Dar isipitie Morogoro

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app

Ahaaa haaa haaa
Unavutia Moro ni kwenu nini?
Usikute wee ni binti wa Moro, MAANA kwa urembo huo mmmh.
 
Nyie si mmepewa soko la maparachichi!ridhikeni na hilo soko but mkopo no,pambaneni na hali yenu,kwa taarifa yako tu jana jpm kafungua bonge la kiwanda cha parachichi ndani ya green city,nyang'au parachichi zenu pelekeni china
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyi mchina kawapa jembe wakalime au sio
 
wacha kutulisha matango pori. miaka minne ndio sasa munafika 50% kisha baada ya miezi sita inayokuja (Nov) mutakua munapokea nini wakati miaka minne sasa hamuelewekieleweki

Mkuu reli ukishaatengeneza tuta ni rahisi sana kumalizia
 
SGR yetu imekamilika 50% ila msitegemee kuziona picha kwa kuwa ccmu yetu inafanya mambo yake kwa siri hata sisi wananchi haturuhusiwi kupiga picha...mna wivu sana manyang'au.
 
Yani stly ulio tumia kuandika huu uzi ulikuwa unataka upewe support na upinzan wa Tz maana umeegemea CCM tu ila ulicho ambulia nako kila kona
Ndio huwa Ujinga wake
Anatabia yakugeuza hoja kuipeleka kwenye siasa za Tanzania ili aungwe mkono na upinzani Kumbe upuuzi tu
 
Jamaa na kenya yao wanatabu sana yani unataka mkopo harafu unapanga mashart ya mkopo tena ukitaka cha uvunguni shart uiname
Ndio huwa Ujinga wake
Anatabia yakugeuza hoja kuipeleka kwenye siasa za Tanzania ili aungwe mkono na upinzani Kumbe upuuzi tu
 
Utaijenga SGR ipi isiyo pitia Morogoro
Faida sio lazima leo au uishuhudie wewe kwa wakati wako
Hakuna Reli itakayo toka Dar isipitie Morogoro

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Mizigo more than 60% ya Tanzania inaishia Dar es salaam,
Iyo iliyobaki ni kustruggle tu,
Time will tell,bora CCM wasifiche ukweli vile mmezoea kudanganywa Kila jambo.
 
SGR tz ni upuzi juu most consumers wa mizigo wapo dar is slum na ndio maana wanastukia eti waifanye dodoma kubwa but it will take more than a decade to achieve that...poleni kwa kushindana na ndovu kunya mkapasuka msamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…