Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.

Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Ila Watanzania bana ccm walipopewa Bilioni 10 na GSM mbona hamkusema !! au wewe ni mwanaccm mnataka chama kife Kwa kukosa fedha za kufanyia siasa ??? Mbona wanachangiwa na wafanyabiashara!
 
Vipi kuhusu CCM kugushi bilioni 60 kutoka Benki Kuu? Vipi kuhusu CCM kuchukua bilioni 40 kutoka Kagoda? Vipi kuhusu CCM kuchukua bilioni 10 kutoka Deep Green? Vipi kuhusu CCM kupora Mali, majengo na viwanja vilivyojengwa kwa michango ya wananchi na kukiuka maelekezo ya Tume ya Jaji Nyalali yaliyotaka mali hizo za umma zirejeshwe serikalini?
Screenshot_20260514-220817~2.png
 
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.

Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hawajaanza Leo ,mkiambiwa hao vi vibaraka wanatakiwa kudhibitiwa muwe mnaelewa.
 
Ila Watanzania bana ccm walipopewa Bilioni 10 na GSM mbona hamkusema !! au wewe ni mwanaccm mnataka chama kife Kwa kukosa fedha za kufanyia siasa ??? Mbona wanachangiwa na wafanyabiashara!
GSM raia wa Tanzania,hata marehemu sabodo alikua akiwapa chadema 100m, hakuna aliyelalama kwa kuwa sabodo alikua mtanzania,sasa kupewa na mabeberu inaleta ukakasi,wakisema mnafadhiliwa na mabeberu kuhujumu nchi kwa nin8 tusiamini?
 
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.

Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Mandela mwenyewe alipata msaada nje kuwatoa makaburu
 
Serikali yetu ya CCM itafanya wizi na ufisadi wowote na hakuna mtu au chombo chenye uwezo wa kuchukua hatua.
 
CCM huwa inapokea mabilioni kutoka nje sasa hiyo milioni 900 umeona ni kitu gani.

CCM ipi unayoiongelea ina uzalendo?

CCP walitoa $40M kujenga shule ya uongozi kwa kivuli cha CCM pale Kibaha mwaka 2022, chuo hicho kinawasaidia CCM, FRELIMO , SWAPO, ZANU -PF , ANC na vyama vyenye mrengo kama wa CCP ambao haviamini katika demokrasia wala haki za binadamu.

Unaizungumzia CCM inayochangiwa mabilioni na wakwepa kodi, mafisadi, narco cartels na wash wash gangs.

Huo uzalendo unaouzungumza hapa ni upi jinga lao?
 
Back
Top Bottom