Ila Watanzania bana ccm walipopewa Bilioni 10 na GSM mbona hamkusema !! au wewe ni mwanaccm mnataka chama kife Kwa kukosa fedha za kufanyia siasa ??? Mbona wanachangiwa na wafanyabiashara!Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Vipi kuhusu CCM kugushi bilioni 60 kutoka Benki Kuu? Vipi kuhusu CCM kuchukua bilioni 40 kutoka Kagoda? Vipi kuhusu CCM kuchukua bilioni 10 kutoka Deep Green? Vipi kuhusu CCM kupora Mali, majengo na viwanja vilivyojengwa kwa michango ya wananchi na kukiuka maelekezo ya Tume ya Jaji Nyalali yaliyotaka mali hizo za umma zirejeshwe serikalini?Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hawajaanza Leo ,mkiambiwa hao vi vibaraka wanatakiwa kudhibitiwa muwe mnaelewa.Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
GSM raia wa Tanzania,hata marehemu sabodo alikua akiwapa chadema 100m, hakuna aliyelalama kwa kuwa sabodo alikua mtanzania,sasa kupewa na mabeberu inaleta ukakasi,wakisema mnafadhiliwa na mabeberu kuhujumu nchi kwa nin8 tusiamini?Ila Watanzania bana ccm walipopewa Bilioni 10 na GSM mbona hamkusema !! au wewe ni mwanaccm mnataka chama kife Kwa kukosa fedha za kufanyia siasa ??? Mbona wanachangiwa na wafanyabiashara!
Hao hao chichiemu wanaopewa Ruzuku na serikali, wanachangiwa na mafisadi, wanapewa pesa na mabeberu wa nje, ila wanainyima Chadema Ruzuku??Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.
Hivi ile Jakaya Kikwete Convention centre nani aliijenga?GSM raia wa Tanzania,hata marehemu sabodo alikua akiwapa chadema 100m, hakuna aliyelalama kwa kuwa sabodo alikua mtanzania,sasa kupewa na mabeberu inaleta ukakasi,wakisema mnafadhiliwa na mabeberu kuhujumu nchi kwa nin8 tusiamini?
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi wananchi wawachangie.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
KikweteHivi ile Jakaya Kikwete Convention centre nani aliijenga?
Zile $40M za CCP kujenga chuo kule Kibaha zilitoka wapi chawa?Hawajaanza Leo ,mkiambiwa hao vi vibaraka wanatakiwa kudhibitiwa muwe mnaelewa.