Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,100
- 649
Yes, naota tu...msije mkaniuzia kesi...ni ndoto tu.
mpaka uuziwe kesi lazima kuna jambo. kwann uwe mwoga. nyie si ndio mliokuwa mnapiga kelele kuwa china wananyonga ukifanya makosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, naota tu...msije mkaniuzia kesi...ni ndoto tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji3] [emoji15] [emoji15]Zombe pole mzee ingekuwa kipindi hii ungekuwa IGP!
mnafiki tu ww, bahati mbaya hauna madhara yeyote kwa andiko lako.
Matokeo yake yanaweza kuwa hayo. Na hata pia yale ya akina Abdalah Zombe kule kwenye msitu wa pande ya kuwaua akina Sabinus Chigumbi na wenziye kisha kuja kutudanganya kuwa wameua majambazi.Hakuna haja ya kuzunguka zunguka sana kutafuta ni nini hasa rais Magufuli alimaanisha jana. Simply ni kuwa rais Magufuli amewaagiza polisi kuua majambazi papo kwa papo na polisi atakayeua papo kwa papo atapandishwa cheo.
Naona watu mmajiumauma humu huku ujumbe ukiwa wazi kabisa. Rais ameagiza kuua majambazi yenye silaha hata kama likijisalimisha. Na polisi ukiua tu jambazi tayari una cheo mkononi.
Sasa sijajua polisi wataenda mbali kiasi gani ila ni kuwa hawataenda mahakamani ng'o!
Utotole trust me, hiki ulichoandika nina hakika kwa asilimia 201 sir longo (longo longo?)hatakielewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Ni kweli hana madhara, ila wenye madhara wapo. Subiri utawasikia na wengine yawezekana utawaona pia. Once the can of worms, or the pandora box is opened and the hell breaks loose!
Hakuna haja ya kuzunguka zunguka sana kutafuta ni nini hasa rais Magufuli alimaanisha jana. Simply ni kuwa rais Magufuli amewaagiza polisi kuua majambazi papo kwa papo na polisi atakayeua papo kwa papo atapandishwa cheo.
Naona watu mmajiumauma humu huku ujumbe ukiwa wazi kabisa. Rais ameagiza kuua majambazi yenye silaha hata kama likijisalimisha. Na polisi ukiua tu jambazi tayari una cheo mkononi.
Sasa sijajua polisi wataenda mbali kiasi gani ila ni kuwa hawataenda mahakamani ng'o!
Polisi atakayegeuka jambazi na yeye atanyang'anywa silaha kwa haraka.Matokeo yake yanaweza kuwa hayo. Na hata pia yale ya akina Abdalah Zombe kule kwenye msitu wa pande ya kuwaua akina Sabinus Chigumbi na wenziye kisha kuja kutudanganya kuwa wameua majambazi.
Majambazi yameua inocent victims wangapi?Kwenye hili kutakuwepo na innocent victims. Maagizo mabaya sana haya.
Siku hizi watu wanazungumza kwa "parables!" karibu mtaa huu
Hili la Polisi Kuruhusiwa 'Kuwanyanganya' Silaha Majambazi!, na Kupandishwa Vyeo, Limekaaje?!...
Pasco
Una maana gani unaposema innocent victims? Innocent unatembea na SMG?Kwenye hili kutakuwepo na innocent victims. Maagizo mabaya sana haya.
Jibu hoja ya mleta mada,Police aliyefanya kazi nzuri ya kizalendo ya kupambana na Jambazi,akalishinda na kufanikiwa kulinyang'anya silaha atapelekwaje mahakamani tena?Kwa kosa gani?Au ni kwa ushujaa wake wa kizalendo wa kupambana na jambazi na kulishinda?
Au alimaanisha wale askari wa Kamanda Abdallah Zombe waliowaua wafanyabiashara watatu wa madini(hapa soma majambazi) pale sinza na kujikuta wanashtakiwa kwa kosa la mauwaji? Mauwaji ya aina hiyo ya majambazi wa Sinza(hapa soma wafanyabiashara wa madini) ndiyo polisi walipaswa wapande vyeo?
Binafsi sijaielewa hii kauli,ngoja nivute subira nimngoje tena msajili wa vyama vya siasa aje aitolee ufafanuzi hii kauli kama alivyoitolea ufafanuzi kauli ile ya awali,Karibu mheshimiwa Msajili utusaidie tena katika hili,ahsante.[
mtaishia kuandika humu jf.
Mkuu, nawashangaa sana hawa UKAWA. Yaani sasa wameanza kutetea majambazi! Kwa kweli ngachokaga!Majambazi yameua inocent victims wangapi?
Naona Ukawa mnatetea uhalifu sasa
Kwa lugha ya kidiplomasia na kiutuuzima tafsiri yako ni sahihi: Mtu akikuambia hebu nipeleke uani, unaelewa na kumwonesha panapostahili.Hakuna haja ya kuzunguka zunguka sana kutafuta ni nini hasa rais Magufuli alimaanisha jana. Simply ni kuwa rais Magufuli amewaagiza polisi kuua majambazi papo kwa papo na polisi atakayeua papo kwa papo atapandishwa cheo.
Naona watu mmajiumauma humu huku ujumbe ukiwa wazi kabisa. Rais ameagiza kuua majambazi yenye silaha hata kama likijisalimisha. Na polisi ukiua tu jambazi tayari una cheo mkononi.
Sasa sijajua polisi wataenda mbali kiasi gani ila ni kuwa hawataenda mahakamani ng'o!