Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,254
Samahani sna Pascal kaka yngu lkn naona wenzetu mnaotokea Bara kuna tatizo kwenye malezi au makuzi yenu maana kauli za huyu bwana km kwao hamna wazee km mm ila tutafika tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani sna Pascal kaka yngu lkn naona wenzetu mnaotokea Bara kuna tatizo kwenye malezi au makuzi yenu maana kauli za huyu bwana km kwao hamna wazee km mm ila tutafika tu...
Mkuu upo?Kichaa huyo na muuaji hana sifa ya kuitwa Kiongozi.
Mkuu upo?
Umemisika pande hizi
Karibu tena.Nilikuwa kitaa kipindi kidogo. Nipo kwa sasa. Nimefurahi kukuona. Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Baada ya maneno haya ni kwamba raisi ametangaza mauaji ya wazi wananchi tutafute mbinu bora za kukomesha mauaji holela inakuwajje Amri jeshi mkuu anatoa order kwa polisi kuuwa wananchi na kuwabatiza jina na kuwaita majambazi kweli huyu raisi ni yeye Yule aliyeaapa kulinda katiba wananchi wote tumkemee aondokane na pepo la uuaji
Karibu tena.
Nimefurahi. Kukuona tena jamvini.
Sikukuu njema kwako pia.
Mkuu soma tena ulichokiandika hapa, unadhani Mahakama ziko kwa ajili gani? Nchi haiendeshwi kwa hisia Mkuu..Kama wewe au nduguzo ni majizi lazma uanze kuhoji ujinga ila sisi tuliowahi kuibiwa wala tukikutana nao hatungoji polisi tunamaliza wenyewe
Too late.Hata Adofu alipoanza, alianza hivi hivi kwa kuwa a populist leader, anayeshangiliwa sana na umati wa watu!, ni baadae sana, ndipo watu wakaja kugundua, walimshangilia kila alichofanya akafikia kuwa unstoppable, by the time wanashtuka, it was too little too late, wakaishia kujuta!, kwa upande wetu, chonde chonde twendeni taratibu jamani, tufungue macho kuhusu hizi amri za mdomo ambazo hazijaandikwa popote, tushtuke mapema before it is too late , tusije kujuta!.
Kodi ya jeneza itapandishwa muda si mrefuWamesharahisishiwa Kazi na sasa badala ya Kuzunguka kwa Waganga mbalimbali Tanzania Bara na Visiwani ili wapande Vyeo watakuwa ' wanatudungua ' tu hovyo hovyo Wahusika na Wasiohusika kila Uchao / Siku ili wapandishwe Vyeo kwa wingi. Naona Wauza ' Majeneza ' Tanzania sasa ama wata ' break even Profit ' au watapata ' Super Profit ' Kimauzo.
Mangine yanasikitishaBwana pascal, si alisema yeye ni kichaa, tukae mkao wa kuuawa na vichaa hadi 2020 tutakuwa tumenyooka na kufanya uamuzi sahihi
Asante kuniangazia, nilimaanisha CinC na sio CDF, nimerekebisha.sorry mkuu apo kwa CDF ulikusudia Mabeyo au Presdaa