Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Toka lini polisi wa bongo wakawa na uwezo wa kutafakari?Muda mwingine anajitamkia tu kila kinachomtokea mdomoni. Wanaoambiwa ndio wanatakiwa watafakari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini polisi wa bongo wakawa na uwezo wa kutafakari?Muda mwingine anajitamkia tu kila kinachomtokea mdomoni. Wanaoambiwa ndio wanatakiwa watafakari
Hayo sio sisi, walaumiwe wahusika wakuu,. Mwezi wa kwanza, napepea, kigwayangwala, mguu kuchemba. Nk.Makosa yalifanyika ile siku ya jumapili tarehe 25/10/2015 wakati wa kupiga kura kuchagua rais
Wakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Muda mwingine anajitamkia tu kila kinachomtokea mdomoni. Wanaoambiwa ndio wanatakiwa watafakari
Huyu atapelekwa ICC, haya yanawekwa kwenye records!
Majambazi chadema mjiandae
Naamini sasa kwa 100% albadir imeanza kazi yakeWatetezi wa haki za bnadamu take note of this! Kama anaweza sema haya hadharani , akiwa na majasusi wake anafanya mangapi?
Wakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Yupo wa kutafakari hapo wakati kashaahidiwa cheo na zawadi kweli na the toppest boss ndiye Kayla ruhusa hiyo????????? Kwa hiyo jicho la polisi tu linatosha kuhukumu kuwa kweli huyu mtuhimiwa ni jambazi na hivyo kutoa adhabu ya kifo papo hapo?? Mahakama haina kazi tena katika matukio ya aina hii eti??!!!! Mnh.....tunakoenda ni mbali sana jamani!!! Sheria hazina awamu hii......Muda mwingine anajitamkia tu kila kinachomtokea mdomoni. Wanaoambiwa ndio wanatakiwa watafakari
Nenda kwenye youtube utaikuta ndipo uje na hilo jibu kama nani mpumbavu kati yangu na wewe.Mleta mada ni mpumbavu! Hujaelewa alichosema!
Ifike hatua moods, kama mtu akileta habari kama hizi alete na video ili kuthibisha alicholeta maana upotoshaji ni mwingi sana humu siku hizi
Mi naona hukobtuendako kuna siku polisi akipita hata kitaani atakimbizwa kama mwiziHivi ndugu yangu unafikiri watu wakiacha kuheshimu utawala wa sheria hao polisi watasurvive masaa mangapi kitaa?
Maskini hata kiswahili tu hujui, hoja ndio utaiweza? Sema lelemama sio REREMAMA.Mtanyooka tu awamu hii mlizoea reremama!!
Hii sii mara ya Kwanza kwa rais kutamkaWakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Wote tumesikia alichoongea, kiufupi umepotosha ama hukuelewaNenda kwenye youtube utaikuta ndipo uje na hilo jibu kama nani mpumbavu kati yangu na wewe.
Nenda youtube utakuta MkuuWeka Clip tusikie na sisi ambao hatukuwepo