Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

Kina watu wanaofokiria ndio watamke na kina wale wanaotamka kwanza ndio wafikirie. Wanaomsaidia kufikiria utawasikia wakisema, mmemuelewa vibaya.
 
Hayo maneno kama kayatamka ajue THE HAGUE wako naye tu
Wakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??

Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
 
Watetezi wa haki za bnadamu take note of this! Kama anaweza sema haya hadharani , akiwa na majasusi wake anafanya mangapi?
Naamini sasa kwa 100% albadir imeanza kazi yake
 
Wakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??

Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??

Kayasema hayo, tena hadharani?

Askari wamepewa liseni ya kuua yeyote 'anayetuhumiwa' kuwa jambazi?
Kutuhumiwa kuwa jambazi kipimo chake ni kipi? Hicho kipimo anacho askari pekee?

Jambazi mwenye silaha, au jambazi mkaba kabari n.k. wote hukumu zao ziwe ni kifo kwa mkono wa askari?
Mahakama, mahakimu na sheria zipo za nini kama askari wamepewa uamzi wa mwisho!

Huku ndiko kukosa busara na akili ya ubinaadam inayomwondolea heshima.

Ni mwendelezo wa mambo ambayo tayari tumeyashuhudia, askari kutowajibishwa kwa makosa wanayofanya. Aliyemuua mwanafunzi Akwilina ni mfano wa haya anayoyasemea sasa hivi kila mtu ajue.

Mwisho wake ni nini, askari akimuua mpizani wa serikali au yeye mwenyewe asisumbuliwe? Apandishwe cheo?
 
Muda mwingine anajitamkia tu kila kinachomtokea mdomoni. Wanaoambiwa ndio wanatakiwa watafakari
Yupo wa kutafakari hapo wakati kashaahidiwa cheo na zawadi kweli na the toppest boss ndiye Kayla ruhusa hiyo????????? Kwa hiyo jicho la polisi tu linatosha kuhukumu kuwa kweli huyu mtuhimiwa ni jambazi na hivyo kutoa adhabu ya kifo papo hapo?? Mahakama haina kazi tena katika matukio ya aina hii eti??!!!! Mnh.....tunakoenda ni mbali sana jamani!!! Sheria hazina awamu hii......
 
Mleta mada ni mpumbavu! Hujaelewa alichosema!

Ifike hatua moods, kama mtu akileta habari kama hizi alete na video ili kuthibisha alicholeta maana upotoshaji ni mwingi sana humu siku hizi
Nenda kwenye youtube utaikuta ndipo uje na hilo jibu kama nani mpumbavu kati yangu na wewe.
 
Wakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??

Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Hii sii mara ya Kwanza kwa rais kutamka
hayo nasi pia tuliwahi kuuliza. Tembelea hapa umsikilize,
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje? - JamiiForums

Kwa mujibu wa hali halisi nchini mwetu kila kitu rais anachowaza, anachosema na anachotenda ni sahihi kabisa regardless katiba inasemaje.
P
 
Sasa askari akiuwa jambazi mnataka na yeye auwawe?

Vibaka tu wa mitaani wanachomwa moto na raia.

Jambazi liuliwe tu. Maana huyo askari kama hajaliuwa litamuuwa yeye.

Hii nzuri sana.
 
huku kwetu juzi tumewamaliza sita kwapamoja now askari waliohusika kama ulikuwa costeble now ni coplo na kama alikuwa coplo ni sagent askar wamelamba shavu la maana
 
Back
Top Bottom