Mtanyooka tu awamu hii mlizoea reremama!!Kweli Tanzania tumepatikana, kichaa anatamka lolote linalomjia, ni bora asisafiri akae hapa atatutia aibu nje huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanyooka tu awamu hii mlizoea reremama!!Kweli Tanzania tumepatikana, kichaa anatamka lolote linalomjia, ni bora asisafiri akae hapa atatutia aibu nje huyu.
BAK is back!!Kichaa huyo na muuaji hana sifa ya kuitwa Kiongozi.
Hujui kituTutarajie madudu zaidi kutoka kwa polisi wetu ..Kimsingi polisi hatakiwi kuua, hata jambazi unless jambazi aamue mapambano ya silaha.
Kauli ya rais inakatisha tamaa juu ya haki za binadamu!hapo ina maana polisi hata akimpuga risasi mpenzi wake kwa wivu wa mapenzi hana kesi.KATIBA MPYA NDIO SOLUTION YA HAYA YOTEWakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Hivi ndugu yangu unafikiri watu wakiacha kuheshimu utawala wa sheria hao polisi watasurvive masaa mangapi kitaa?
Mbeba mabox umerudi?Kichaa huyo na muuaji hana sifa ya kuitwa Kiongozi.
Hopeless commentsKauli ya rais inakatisha tamaa juu ya haki za binadamu!hapo ina maana polisi hata akimpuga risasi mpenzi wake kwa wivu wa mapenzi hana kesi.KATIBA MPYA NDIO SOLUTION YA HAYA YOTE
Makosa yalifanyika ile siku ya jumapili tarehe 25/10/2015 wakati wa kupiga kura kuchagua raisWakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Alaaniwe WA awamu ya 3Wakuu habari za leo?

SwadaktaMajambazi chadema mjiandae
Naamini hakuchaguliwaMakosa yalifanyika ile siku ya jumapili tarehe 25/10/2015 wakati wa kupiga kura kuchagua rais
Njoo nikupelekeHivi Mirembe ni mbali sana?!
mchungaji kavaa miwani ya mbao[emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 973731
Kwani unaamini alishinda kweli?Makosa yalifanyika ile siku ya jumapili tarehe 25/10/2015 wakati wa kupiga kura kuchagua rais