Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

Poliisi wakisha shuka magari yao nnakukabidhi silaha ukimkuta uraiani mwepesi sana sana sana unamchagua umchapaje Kwa panga jiwe mshale mitama shoka yani Wewe tuuu!!!na kumjua asikari aliyeua jamaa yako simple sana ! Mtafute askari yoyote WA kituo husika ya soo kupoa mtie bia za kutosha na mchemsho hasa wakuku wakienyeji ( Fanya hivyo for more than two weeks) utampata mlengwa kisha dili nae squarely
 
Nilikuwa kitaa kipindi kidogo. Nipo kwa sasa. Nimefurahi kukuona. Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Karibu tena.
Nimefurahi. Kukuona tena jamvini.
Sikukuu njema kwako pia.
 
Reactions: BAK
Ni mtu wa ajabu sana huyu! Uhai wa binadamu kwake hakuna thamani kabisa. Muuaji eti apandishwe cheo! Mauaji ya raia nchini yataongezeka kupita kiasi.

 
Kama wewe au nduguzo ni majizi lazma uanze kuhoji ujinga ila sisi tuliowahi kuibiwa wala tukikutana nao hatungoji polisi tunamaliza wenyewe
 
Hapa cha muhimu ni Acheni WIZI/UJAMBAZI.Hizo nyingine ni bla bla tu
Tuacheni mabifu na police na ikitokea wakachukua wake zetu tupige kimya nje ya hapo watakuua na kukubambikia silaha na ikitokea imechukua mke/awala yake hapo wewe ni zaid ya jambazi sugu
 
Too late.
 
Kodi ya jeneza itapandishwa muda si mrefu
 
Bwana pascal, si alisema yeye ni kichaa, tukae mkao wa kuuawa na vichaa hadi 2020 tutakuwa tumenyooka na kufanya uamuzi sahihi
 
Ni kweli kabisa, Paskali unarejea ktk kiwango chako!..Pamoja na maelekezo ya No1, Polisi wanatakiwa kuyapima maelekezo hayo dhidi ya GPO, sheria za nchi na katiba. Najia ndani ya jeshi la Polisi kuna wanataaluma waliobobea na wanaojua wajibu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…