Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

Kwenye mambo ya kisheria mkulu hakurupuki km wengi wwnavyofikiri hupata ushauri kabla ya kufanya maamuzi
Naamini hajakiuka sheria yoyote
 
Tatizo bindadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanafanya yale yanayowapendeza wao...


Cc: mahondaw
 
Hujui kitu soma hapa
 
Hii kitu imekaa vibaya. Kwa kifupi ni kwamba JPM kamtumbua Assad kwa sababu anazozijua mwenyewe. CAG hajastaafu kwani bado hajagonga 60 years. Inaleta ukakasi sana kama JPM ana nia ya dhati kabisa ya kupambana na wizi wa fedha za Umma

Magufuli staili yake ya utawala ni kutaka wote wanaofanyakazi chini yake wamuogope hivyo he demands total loyalty from his appointees!! Hiyo ni staili ya Dictators wote; they instill fear and ascertain that they weaken all INSTITUTIONS that have oversight functions over them. Mbinu kubwa anayotumia kupata total loyalty ni kuwashusha vyeo watu kutoka vyeo vikubwa halafu baada ya muda kuwateua tena na kuwapa vyeo vikubwa; that way he is assured of total loyalty kwani wahusika wataona kuwa amewapendelea! He did that to the head of Intelligence na he has done it again by appointing the demoted TRA boss to become the new CAG!!

Remember when Mohamed Othman retired as Chief Justice and he went ahead for the first time in the history of the Tanzanian judiciary to appoint an acting Chef Justice!! He was sending a message that the Chief Justice was his appointee and hence he had to behave accordingly. He has completely marginalized the judiciary by getting rid of all judges that were appointed before he ascended to power; as I am writing he has appointed eighteen new judges of the high court.

As chairman of the ruling party with the majority in parliament, he has absolute control of the legislature in all of its functions.

Consequently, Magufuli is an absolute ruler in this poor country which is mwambafying itself as a donor country!
 
Wanasheria pamoja na asasi za kijamii kama LHRC waombe Mahakama Mkuu itoe tafsiri ya katiba kuhusu muda wa utumishi wa CAG baada ya kuteuliwa uko kinyume na vifungu vya katiba tajwa hapo #32
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
1.HEBU KETI 2.KUNYWA MAJI 3.WAZA MENGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…