Unamuuliza Nani sasa jomba..aliyemteua ndio anajua undani na kwanini..wewe inakuhusu. Usipoteze muda wako jomba..mpigie simu aliyemteua akuambie sababu..sisi huku tutakuwa tunaongopeana tuJe kulikuwa na sababu za msingi kumng'oa Assad?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuuliza Nani sasa jomba..aliyemteua ndio anajua undani na kwanini..wewe inakuhusu. Usipoteze muda wako jomba..mpigie simu aliyemteua akuambie sababu..sisi huku tutakuwa tunaongopeana tuJe kulikuwa na sababu za msingi kumng'oa Assad?
Angekuwa Hana Nia ya dhati hivi ingewezekana vipi akanunua madege karibu kumi ndani ya miaka minne..hujiulizi..wewe...hata kidogo..haya mapesa si yote angeyatia ndani..angeyalamba yote, wee vipi bana..Hii kitu imekaa vibaya. Kwa kifupi ni kwamba JPM kamtumbua Assad kwa sababu anazozijua mwenyewe. CAG hajastaafu kwani bado hajagonga 60 years. Inaleta ukakasi sana kama JPM ana nia ya dhati kabisa ya kupambana na wizi wa fedha za Umma
Kipindi hiki tunawaomba waKaskazini, Waislamu na wapinzani mtusamehe kwakuwa tuko bize tunaijenga nchi
Sasa Yale yanayohusu mavyama vyetu mbona hujayataja..Yale mabilioni yaliyofisadiwa huku kwenye vyama vya upinzani..kwanini hamuyataji hayo ambayo ya ukweli mnarukia Mambo ambayo hayana hata ushahidi..Mambo ya kutunga..na mlaaniwe mnaopindisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli..sisi wananchi ili mradi ukweli tunaujua sasa hatudanganyiki Tena...tafuteni gia nyingine
Tumieni Kila aina ya methali, tungo Tata na nini mpaka mzimalize..wewe na ndugu zako mama yako, baba yako watoto wako, mmeo wote ni wakusadikika..kumbe ndio hivyo..basi sawa..lakini tutafika kule tuendapo..Nchi yenye watu wa kusadikika, Tutafika tu
Ni bora ungeambatinisha na hicho kipengele cha katiba kinachosema hivyo,vingenevyo unaonekana mmbea tuKatiba inasema atatumikia miaka mitano na anaweza kuteuliwa miaka mitano mingine. Kuteuliwa kipindi cha pili ni mapenzi ya mteuaji.
mzee wa Babeli usijali na bado uko utumwani sasa tunaelekea nchi ya AhadiTumieni Kila aina ya methali, tungo Tata na nini mpaka mzimalize..wewe na ndugu zako mama yako, baba yako watoto wako, mmeo wote ni wakusadikika..kumbe ndio hivyo..basi sawa..lakini tutafika kule tuendapo..
haijalishi..ili mradi wananchi tunaona kwa macho yetu yanayotendeka na serikali..utatuambia Nini bana...sisi hatupo Kama nyie mnaodanganywa na Mwenyekiti wetu kawafumba macho, chama mpaka kinafanya biashara ya kuweka na kukopa, saccos in nature..chama kilichoibuliwa na CAG kwa ufisadi wa mabilioni ya fedha, mmekaa kimyaaa..eti chama Cha kidemokrasia,, utatuambia Nini jombaHamdanganyiki? Nyie mnadanganywa kila siku, na ujinga/upumbavu wenu ndio mtaji wa hao mnaowaimbia mapambio!
Waambie hao wanaharakati waelewe wakawaeleze waume zaoShall be eligible unajua maana yake, shall hold office for fixed term of 5 years kwako inaeleweka vipi? Maana yake baada ya hiyo miaka 5, anaweza kuendelea tena mingine 5 unless awe amefikisha miaka 60, mteuaji akiona hiyo miaka 5 inatosha kavunja sheria ipi? Mimi namkubali sana Asad, lakini ukweli ni kwamba rais hajavunja katiba.

Pascal umesoma sheria hilo neno ‘SHALL’ kwenye sheria lina maana kuwa ni uamuzi wa mteuaji kuongeza au kutoongeza mkataba? Au halina maana nyingine ambayo haijazingatiwa.Kisheria CAG anatumikia miaka 5, na yuko open for reappointed kwa miaka 5 mingine ila akifikisha miaka 60 ndio amestaafu
Kwenye reappointiment, rais halazimishwi kum reappoint, hivyo Rais Magufuli yuko right kumteua mtu mwingine yoyote na CAG Prof. Assad is sent to early retirement. Ataendelea kulipwa mshahara na marupurupu yote ya CAG hadi atakapotimiza umri wa miaka 60, ndipo atastaafu rasmi na kulipwa mafao yake na kiinua mgongo cha 80% ya the current CAG.
P
Na hivi ndivyo ufalme wa mfalme juha ulivyokuwa ukibana matumizi.Kisheria CAG anatumikia miaka 5, na yuko open for reappointed kwa miaka 5 mingine ila akifikisha miaka 60 ndio amestaafu
Kwenye reappointiment, rais halazimishwi kum reappoint, hivyo Rais Magufuli yuko right kumteua mtu mwingine yoyote na CAG Prof. Assad is sent to early retirement. Ataendelea kulipwa mshahara na marupurupu yote ya CAG hadi atakapotimiza umri wa miaka 60, ndipo atastaafu rasmi na kulipwa mafao yake na kiinua mgongo cha 80% ya the current CAG.
P
Nadhani ofisi ya CAG haikagui Doc pekee.Huyu anayekuja aanzishe utaratibu wa kukagua doc online, huu utaratibu wa NAO kwenda halmashauri kukaa mwezi unaitia serikali hasara. Halmashauri ziwe zinatuma doc.online zinakaguliwe unatandikwa query zako unajibu na kufuta huko huko online
haijalishi..ili mradi wananchi tunaona kwa macho yetu yanayotendeka na serikali..utatuambia Nini bana...sisi hatupo Kama nyie mnaodanganywa na Mwenyekiti wetu kawafumba macho, chama mpaka kinafanya biashara ya kuweka na kukopa, saccos in nature..chama kilichoibuliwa na CAG kwa ufisadi wa mabilioni ya fedha, mmekaa kimyaaa..eti chama Cha kidemokrasia,, utatuambia Nini jomba
Wanasema hivi...
![]()
Neno (Shall) wanasheria watatusaidia.
Kwa muono wangu ikaa kisheria na kisiasa kwa sheria inaruhusu yeye aongezewe muda wa kuongoza tena. Na kama Mh pamoja na mamlaka aliyonayo je hapendi watu wa weledi na kaliba ya simba Dume kwa kiarabu Assad