Kuna style tofauti za kupongeza ukiguswa na jambo kutokana na utofauti na wa jamii na jamii. Sioni kwanini uwasifie Wamerekani na uwashangae Watanzania. Bila shaka ushaangalia The House of Commons Sessions! Unawasemaje Wabunge wanapomzomea PM wao?
unaweza kuwa na akili sana wewe hadi kutoa mada nzuri na fikirishi,ila usipende kuonyesha wingi wa akili zako kwa kutukana watu unaodhani hawajakidhi matakwa yako ya mada yako....hii tabia yako ya matusi inakua kwa kasi