na wao waige sasaNi fedheha na aibu!
Nimeangalia State of the Union kwa wenzetu huko ni issue serious sana! Mnapiga makofi mkiguswa sana mnasimama kwa makofi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wao waige sasaNi fedheha na aibu!
Nimeangalia State of the Union kwa wenzetu huko ni issue serious sana! Mnapiga makofi mkiguswa sana mnasimama kwa makofi.
Kuna style tofauti za kupongeza ukiguswa na jambo kutokana na utofauti na wa jamii na jamii. Sioni kwanini uwasifie Wamerekani na uwashangae Watanzania. Bila shaka ushaangalia The House of Commons Sessions! Unawasemaje Wabunge wanapomzomea PM wao?Ni fedheha na aibu!
Nimeangalia State of the Union kwa wenzetu huko ni issue serious sana! Mnapiga makofi mkiguswa sana mnasimama kwa makofi.
Acha kunipotezea Muda Mnafiki Wewe.unaweza kuwa na akili sana wewe hadi kutoa mada nzuri na fikirishi,ila usipende kuonyesha wingi wa akili zako kwa kutukana watu unaodhani hawajakidhi matakwa yako ya mada yako....hii tabia yako ya matusi inakua kwa kasi