Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Mnasema wapiga kura wengi mwaka huu ni vijana. Sidhani kama vijana wengi wa kiislam wamezama sana kwenye mambo ya BAKWATA au Ponda kiasi cha kuthiri matokeo ya uchaguzi.
 
CV yake siyo siri ana PhD na alikuwa Mwalimu SAUT. Anachopungukiwa ni kuto practice uwakili kwa miaka inayotakiwa kwenye Katiba. Ila kwa kuwa ni ndugu yetu amechukuliwa aje asimamie masilahi
Unao uhakika hajawahi kupractice uwakili zaidi ya miaka inayotakiwa? Au una kariri uharo wa Fatma Karume?
 
Sheikh Issa Ponda na kizazi chako chote, popote ulipo na utakapokuwa Ulinzi wa Kimungu uwe Juu yako nyote! AMIN
 
Sheikh Ponda ni man of the match mpaka dakika hii..
 
Angela Merkel, Cyril Ramaphosa , Nana Akuffo Adoo, Abiy Mohamed, Emmanuel Macron, TRUDEAU
Wewe ni hewa kweli kweli, Ramaphosa watu wanakatwa vichwa south africa kila kukicha alafu unasema utawala hauna doa, Wasauzi wabaguzi vile wanaua weusi wenzao ambao si wasauzi alafu unasema eti utawala safi ule.

Abiy wa ethiopia ni msafi yule, kama ni msafi unadhani kwanini wamoroni wanaandamana kila kukicha wakitaka haki sawa.

Na umesahau juzi tu hapa miezi miwili iliyopita yule msanii wa Ethiopia aliyekuwa anaimbaga nyimbo za kiu wanaharakati alikutwa umeuwawa kikatili mno hadi watu waethiopia waliandama nchi nzima kutaka haki itendeke.

una fikiri kama abiy anaiongoza vizuri nchi bila madhaifu ni kwanini mara kwa mara waethiopia wanakamatwa kwenye malori na mafuso huku kwetu Tanzania wakiwa wahamiaji haramu wanaikimbia Ethiopia.

Believe me, hakuna mtawala ambaye yuko perfect hapa chini ya jua, narudia tena hayupo.

Wapo watawala ambao wameongoza nchi zao zikafanikiwa sana lakini si kwamba wao ni watenda haki sana.

Kuna watawala kama Jin Ping wa china, amaongoza nchi imefanikiwa sana na wanamkubali sana lakin bado unaona china ndiyo nchi inayoongoza kunyonga watu duniani hadi sasa kuliko taifa jingine lolote.

Kuna Mtu kama putin wa Urusi ameipa heshima Urusi kwenye dunia lakini mzingue uone kama hajakukata kichwa.

Tunae Jirani yetu hapa Kagame wa rwanda ameifanya rwanda imeonekana kwenye dunia lakini nafikiri unaona wapinzani wanavokalia kuti kavu.

Kulikuwa na Gadaffi ambae alikuwa anawapa Walibya kila kitu lakini angalia waliokuwa wanampinga walichokuwa wanakutana nacho.

My take : Mtu kama lissu hapaswi kuranda randa hapa Tanzania zaidi anafarakanisha watanzania tu.
 
Kama unasubiri TBC ikutangazie pole Sana
Wewe hujui mauaji yanayofanywa na watu wasiojulikana?
Hata kule Syria kuna watu wanapinga ukweli
Kila kunapo itwa Leo kuna watu wanauwawa na tanapa, watu wasiojulkjana, polisi n, k
Pole kwa kukanusha ukweli unaoujua
 
Kwa Tundu Lissu umechelewa, treni imekwishawaka hairudi rivasi. Ndiye Rais wetu kuanzia 29/ 10/ 2020.

Mwaka 2015 akina Modest Kapilimba, Januari Makamba, Kinana na Nape wanajua walikomba kura ngapi za Lowassa kumpa Magufuli.

Mwaka 2020 haibiwi mtu
 
Hujielewi.
 
Nitakutafta baada ya october 28
 
Ninyi ndiyo wenye zile akili kwamba hata majambazi wakiua mnasema serikali imeua, ndiyo ninyi ambao Mbowe alikunywa pombe akalewa akaanguka pale Dodoma alafu nyie mkakimbilia kusema ameshambuliwa na wasiojulikana, ndiyo ninyi ambao majambazi walikuwa wanaua pale kibiti alafu mnakimbilia kusema serikali inawaua watu wasio na hatia.Akili za kipuuzi kama zako haziwezi kuleta mabadiliko kwenye jamii inayohitaji mageuzi ya maana.
 
Endelea kuitukuza dini badala ya Kumtukuza Mungu
Walevi kama ww waliomba kwa Jpimu amuachie Baraba mlevi mwenzao kisha Yesu akafungwe..HUIJUI DUNIA MDOGO WANGU..BILA SHAKA BADO UNANYONYA VIDOLE UKIKUMBUKIA MAZIWA..Inatosha HUJIELEWI
 
"Kuna mada niliwahi kuchangia kuwa Alhadi Musa Salum alikuwa ni mvuta bangi hodari wa Makadara Zanzibar na disco pale Bwawani hotel alikuwa havundi watu walinitolea macho sana na kusema kuwa namwongelea uongo!! Kidogo kidogo tu tutaelewana. Ila pale hakuna shekhe!!
 
Middle income na tunaibiwa mashamba
 
Sisi hatutaki watu wanaosikiliza TBC
Halafu wanaamini ndo mwisho
Kile kijiji karibu na chato watu 9 wameuwea wiki iliopita na tanapa halafu unasema walikua majambazi
Tuombe uhai ipo siku huyu katili atakua sio Rais Ndio utasikia mengi
Ukiona serikali inabana Sana vyombo vya Habari ujue kuna maovu mengi anafanya kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…