Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Zilizopo hazikutoshi ndugu MATAGA?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Waislam wa Tanzania wameshakataa utopolo wenu.

Andika aya ndeefu na mipasho kedekede lakini nyie mnawachafua waislam kwa ajenda zenu za kigaidi
Tundu Lissu ni mpango wa Mungu, ukimpinga kwa njia yeyote ile lazima utapata matatizo. Nawashauri TISS, NEC na Polisi au TPDF wafuate haki pekee. Kamwe wasikubali kupindisha sheria au kanuni au kubadili matokeo kumfurahisha Magufuri, kwa kuwa hasira ya Mungu juu yao itakuwa ni maangamizi kwao na vizazi vyao
 
Waislam watamchagua Lissu na sisi wakristo inabidi tuwaambie makardinali wetu kuwa watangaze kuwa kura zetu ni kwa Magufuli.

Katika watu ma-bogus huyo Sheikh ni mmoja wa wanaoingia kumi bora.
Magufuli anaingia makanisani lakini siyo Mkristo. Yawezekana alibatizwa na kusoma mpaka seminarian lakini yeye ni wa SHETANI. Mkristo safi hawezi kuwa muuaji, mzinzi, mbambikiaji kesi, mwongo na mwizi. Hizo ndiyo tabia za huyo Magufuli.

Kama Waisalamu wanahamasishwa kumchagua Lissu, Sisi tayari tulikwisha fanya maamuzi ya kumchagua Lissu.

Hata CCM kindakindaki akina Kikwette, Kinana na akina Yusuf Makamba hawawezi kumpigia kura Magufuli
 
unafiki wenu ni kuona mtu ni msomi,mkweli,msimamia haki,au ana akili sana kwa sababu tu anaipinga serikali.

hapa ndipo mnapoonekana wazandiki tu.
yaani leo hii hata makonda akiamua aunge juhudi za lissu anatakata on the spot.
Bashite tena
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Haya ni mawazo ya kishetani sana
 
Penye ukweli uongo hujitenga umeongea kweli tupu Ustadh Hakika Mungu atasema na nafsi zao na zitawakera Duniani na kiama
 
Wewe jamaa inaonekana una dharau sana, una dhubutu hadi kuliita baraza lako BAKWATA wanafiki.
Si muandame sasa hata hilo baraza livunjwe kama mnaliona la kinafiki, Anyway labda ni mtazamo wako binafsi siyo wa waislamu walio wengi.
Ndiyo maaana mimi huwa naona bora hata katiba ya hii nchi wangeweka kipengele kwamba mtu anaegombea urais asiwe kabisa na dini.
Maana akichaguliwa mkristo waislamu wanasema wanaonewa ama Rais anawapendelea wakristo.
lakini akichaguliwagwa rais muislam sijawahi kuona wakristo wakisema kuwa wanaonewa, sijui ni kwanini ni ninyi tu waislam rais akishachaguliwagwa mkristo ninyi mnasema mnaonewa ama wakristo wanapendelewa.
Lakini nakumbuka mfano mashehe wa uamsho ambao wako mahabusu hadi sasa walikamwatwa kipindi ambacho rais alikuwa ni muislam (Kikwete) lakini sasihivi lawama anapewa magufuli kuwa anawatesa, sielewi vizuri wapi shida.
 
Thank you very much
Waislamu wakisema Rais mkristo anawafanyia waislamu dhulma tunatoa vielelezo mfano mkapa aliua mamia ya wapemba na waumini wa mwembechai msikitini
Kweli mashekh wa muamsho walikamatwa na SMZ 2014 kule Zanzibar kabla huyu kafiri haja kua Rais lakini Mara baada ya yeye kua Rais akaagiza waletwe Tanganyika ili aweze kuwatesa bila huruma na hao ni 72 tu
Sisi tunazungumzia mashekh wengine zaidi ya 200 ambao wamekamatwa kuanzia mwaka 2016 wakati kaffir tayari ni Rais
Kuhusu BAKWATA ni wanafiki wanafanya ubadhirifu Mali za waislamu ulisema kidogo wanakubambikizia kesi ya ugaidi
Je wajua miaka mitano ya kafiri watanzania wengi wamekamatwa kwa tuhuma za ugaidi kuliko hata Afghanistan!!!
Ndugu zetu wanateswa Sana kwenye magereza bila kufikishwa mahakamani
Huyu kafiri anachuki Sana na anatuchukia bila sababu
 
Kulikoni Hawa makada lile tamko la wenzao wa kusini kuisapoti ccm na yule shehena swahiba wake bashite awakulisikia? Tuwaambie tu batili haiwezi shinda haki
Ila kwa janja janja tu!
 
Hakuna mkristo wa kweli anayemjua Mungu - Jehova - Yahweh, Yesu Kristo na Roho Mtakatifu, na kuijua biblia vyema kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu anayeweza kumchagua JPM.
Hakuna
Hakunaaaaaa.
Hakunaaaaaaaaaaaa.
Hakuna muislam anayejielewa sawa sawa kichwani kwake anayeweza kumpigia kura Lissu mwenye urafiki na Amsterdam.
 
Msema kweli ni tarehe 28 Oktoba, hakuna haja ya kuandikia mate wakati wino upo.
 
Hao masheikh wanaopingana na Sheikh Ponda wakae wakijua kwenye Shura viongozi ni wazee lakini huku nyuma tupo vijana tunaounga mkono Shura na idadi yetu sote sio chini ya milioni 10.

Tarehe 28.10.2020 tuna jambo letu. Kama hawawezi kuwasemea masheikh wanaosota magerezani wakae kimya mengine yote watakayonena ni pumba tu kwa sasa!
 
Anayeipenda Tanzania na anayeipenda imani yake, ni lazima apende kutenda haki. Kama unaipenda Tanzania, ni lazima upiganie haki za makundi yote katika jamii yetu.

Kama wewe ni mkristo, unaipenda imani yako, basi hakikisha imani nyingine zote zinatendewa haki. Amani, furaha na utulivu wako unategemea zaidi amani, furaha na utulivu wa wanaokuzunguka. Kama unaipenda sana CCM, upiganie haki ya vyama vingine vya siasa. Amani na utulivu wa CCM utategemea jinsi vyama vingine vinavyotendewa haki.

Kosa kubwa alilolifanya Magufuli mara baada ya kuapishwa kuwa Rais mwaka 2015 ni kuamini kuwa kuyanyima haki baadhi ya makundi na vyama vya upinzani, ndiyo kutampa utulivu na urahisi wa kutawala. Jibu amelipata. Utawala wake ukaishia kulalamikiwa, kupingwa na kulaaniwa ndani na nje ya nchi. Nanukuu maneno ya Gavana yule wa Kenya, "utawala wa Maguguli umekuwa aibu kwa Afrika nzima".

Tukitaka tuishi kwa amani, furaha na upendo, siku zote, kila mmoja atende haki. Rais Magufuli inaonekana hajajifunza chochote na wala hajabadilika. Kwenye kampeni hizi zinazoendelea, bado anaongelea kuendeleza utawala wa kibaguzi na upendeleo. Huyu ni adui wa Taifa. Mtu wa namna hii, anaweza kuja kuliangamiza Taifa. Yeye bado anaongelea eti watu wasipomchagua mgombea wa CCM, watanyimwa miradi ya maendeleo! Kama mtu ametamka hivyo wazi, kweli kuna haja ya kumpa kura mtu wa namna hiyo? Huyu anaelewa juu ya haki ya raia kuwachagua viongozi wanaowataka? Huyu anaelewa juu ya kiapo cha Rais cha kuwatendea watu wote haki bila ya ubaguzi wa namna yoyote ile?

Naamini CCM, kwa kadiri ya katiba yetu ya nchi, ina mgombea mbaya kuliko wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…