Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Mkuu mimi siwezi kuendelea kufanya debate na wewe bhana maana naona umeegemea kwenye mfumo wa dini zaidi kuliko siasa za dunia zinazotuongoza.
Kuna vitu vingine vinahitaji uelewa wa kawaida, kwa mfano suala kama la mkapa kuua watu pemba 2001 sidhani kama linahusiana na uonevu wa uislam,labda ni wewe ndiyo unaona hivo ila mimi naona yalikuwa matukio tu ya kisiasa kama matukio mengine wala haihusiani na uonevu dhidi ya waislam,Labda kwa sababu yalitokea eneo ambalo wakaazi wengi ni waislam basi wewe ukadhani walengwa walikuwa waislam ila si kweli na mkapa aliwahi kuomba msamaha kuhusu hilo tukio maana lilimuyumbisha kisiasa pia.
Ishu ya mashehe kukamatwa kamatwa inabidi uwaulize mashehe waliobaki uraiani kwamba kwanini wenzetu wanakamatwa kamatwa sana nadhani watakupa majibu sahihi ila si hayo yako iliyonayo kichwani ya uonevu au kukwamisha uislam usiende mbele, si kweli kabisa hapo.
Alafu cha mwisho huwezi kumwita Rais wetu "Kafiri" bhan, sidhani kama ni jina zuri sana inabidi umtake radhi Rais wetu.
 
Tundu Lissu amezungumzia kuhusu mfumo kristo au bado? maana haya ndio mambo ambayo waislamu wamekuwa wakiyalalamikia miaka kwa miaka kabla hata hilo la masheikh wa uamsho.

Ni muhimu kuyajua haya ikiwa anahitaji kura za waislamu.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Tundu Lissu amezungumzia kuhusu mfumo kristo au bado? maana haya ndio mambo ambayo waislamu wamekuwa wakiyalalamikia miaka kwa miaka kabla hata hilo la masheikh wa uamsho.

Ni muhimu kuyajua haya ikiwa anahitaji kura za waislamu.
Tundu Lisu ameahidi katiba mpya, ndio muarobani wa kero zote.
 
Mudawote mpumbavu muda wote. Awe kaburini kisa kikiwa kutofautiana na wewe mtizamo tu au kuna jingine?
Ndio serikali ya awamu ya tano inavyoendeshwa

Tunakwenda kumalizana nao tarehe 28, zimesalia siku chache tu kuondowa utawala wa Magufuli
 
Ndio serikali ya awamu ya tano inavyoendeshwa.

Tunakwenda kumalizana nao tarehe 28, zimesalia siku chache tu kuondowa utawala wa Magufuli.
Hakuna wakuishinda CCM na wala atokuja kutokea CCM chama kubwa kama mlishindwa 2015 amtoweza miaka yoteee
 
Sasa mtu kama Sheikh Kipozeo naye ni wa kumtilia maanani yeye kazi yake kuzungumzia makalio ya Wanawake tu
Hata ukimuangalia wakati anaongea kuna wakati alikuwa anataka kucheka kudhihirisha wakisemacho siyo sawa.
 
Bakwata walikaa kimya Ponda kushughulikiwa na Utawala huu dhalimu, walikaa kimya alipopigwa risasi, sasa wanawashwawashwa nn tena
 
Kwamba waislamu wamekaa kabisa wakaamua wamchague mkristo kuwa Rais ilhali kuna waislamu wenzao wanagombea pia.

Halafu baadae mnajitokeza tena kutubania pua na hekaya za mfumo Kristo.

Angalieni uchaguzi wa DRC jinsi RC walivyom-support wa "kwao" live au akina Shoo wa KKKT na Lowasa.
 
Swala la Ponda limeshafungwa masheikh wamemkana anachozungumza kwenye majukwaa ni hisia zake binafsi.
 
Hawa masheikh wanaoongozana za Alhady shida tupu.

Nimesikia Alhady ni qaumu luut.

Je ni kweli?
Mkuu hii google translator imegoma kuitafsiri hii "qaumu
Luut ,ifungue ustaadh.
Sheikh Ponda kamaliza kila kitu,hao vibaraka wa watawala wajiandae kupata kile walichojiandalia
 
Kawaambie watu waliopoteza Familia zao kwa sababu ya watu wasiojulikana
Huo uzi mpeleke Polepole na mashekh wanafiki wa BAKWATA
 

Mkuu hii google translator imegoma kuitafsiri hii "qaumu
Luut ,ifungue ustaadh.
Sheikh Ponda kamaliza kila kitu,hao vibaraka wa watawala wajiandae kupata kile walichojiandalia
Qaumu luut ni watu wa sodoma na Gomorrah
 
Comparative religions, we unatuletea mihadhara kwenye nchi ambayo haina udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…