Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hivi wewe unaujua uislamu au unadhani ukiona hao siasa kali ndio unajua huo ndio uislamu wenyewe?Kama hujui she Ponda jua uiislamu wako unamshaka sana, utakua Muislamu kwa bahati mbaya
Kama unazungumzia waislamu basi tambua huyo Sheikh Ponda anajulikana zaidi na labda ana ushawishi kwa type za waislamu wanaoitwa siasa kali tu hivyo ni sehemu tu ya waislamu.