Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Kama hujui she Ponda jua uiislamu wako unamshaka sana, utakua Muislamu kwa bahati mbaya
Hivi wewe unaujua uislamu au unadhani ukiona hao siasa kali ndio unajua huo ndio uislamu wenyewe?

Kama unazungumzia waislamu basi tambua huyo Sheikh Ponda anajulikana zaidi na labda ana ushawishi kwa type za waislamu wanaoitwa siasa kali tu hivyo ni sehemu tu ya waislamu.
 
Sisi Ndio waislamu na tunaimani na Sheikh Ponda kama wewe unanichukia ni wewe na roho yako
 
Hivi wewe unaujua uislamu au unadhani ukiona hao siasa kali ndio unajua huo ndio uislamu wenyewe?

Kama unazungumzia waislamu basi tambua huyo Sheikh Ponda anajulikana zaidi na labda ana ushawishi kwa type za waislamu wanaoitwa siasa kali tu hivyo ni sehemu tu ya waislamu.

Siasa kali kwani siasa ni kama pombe au sigara ??

Udini upo Tanzania. Angalia uteuzi wa JPM amejaza Wakristo tu. Ila usilete hoja ya Majaliwa na Samia kwa kuwa hakuwa na options
Vipi bashe na jafo?, Vipi diwani? Vipi kunenge: nakushauri uwahi sanatorium clinic kabla ya tarehe 28
 
Hakuna cha siasa kali ila kuna waislamu wa haki na waislamu wanafiki
Waislamu wa haki tupo na Ponda kura kwa Lissu
Waislamu wanafiki wapo na BAKWATA kura zao kwa yule katili Pombe
Unaona sasa tatizo lako? unafikiri kila muislamu anajihusisha na hizo siasa? wengine wako busy na masuala ya dini sio kuangaika na mihemuko yabkisiasa ya akina Sheikh Ponda.

Muislamu ategemee kupata haki kwa kafiri?
 
Lisu ni muadilifu maana ameonyesha hata wakati yupo bungeni alikua akisema kutetea waislamu
Mtu wa kwanza kutetea na kufanya nusra kwa waislamu alikua mkristo king nagash wa habasha ya kale

Wewe hata hujui historia ya dini yako
 
😂😂😂 unajua nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya watu mna hasira as if Magufuli kakwamisha maisha yenu sana, inabidi mkajengwe kisaikolojia nyie mkae sawa
Kama huelewi uliza tukueleweshe. Other wise wewe ni mnufaika wa mfumo wa dhuluma
 
Katiba ya JMT imetamka wapi kuwa hii nchi ina dini?
Katiba haijasema ila huyu Magu hafuati katiba katika uongozi wake. Kwa mfano alimchagua Mwanasheria wa Serikali yule A. Kilangi ambaye ni msukuma mwenzenu ili atekeleze matakwa yake.

Na yule Killangi alikuwa hakidhi matakwa ya kukatiba
 
Vipi bashe na jafo?, Vipi diwani? Vipi kunenge: nakushauri uwahi sanatorium clinic kabla ya tarehe 28
Unaangalia kwenye Cabinet tu si ndiyo? Angalia wateule wote utakuta ratio ya Waislamu kwa Wakristo ni 20/80
 
Katiba haijasema ila huyu Magu hafuati katiba katika uongozi wake. Kwa mfano alimchagua Mwanasheria wa Serikali yule A. Kilangi ambaye ni msukuma mwenzenu ili atekeleze matakwa yake.

Na yule Killangi alikuwa hakidhi matakwa ya kukatiba
Ahaaaa, Cv ya Kilangi unaifahu? Unaongea kwa chuki tu.
 
Magufuli ni kafiri kwa sababu amefanya kufr nyingi
Lisu ni muadilifu maana ameonyesha hata wakati yupo bungeni alikua akisema kutetea waislamu
Mtu wa kwanza kutetea na kufanya nusra kwa waislamu alikua mkristo king nagash wa habasha ya kale
Wewe hata hujui historia ya dini yako
Naona unaona shida kutamka kuwa Lissu ni kafiri,sasa hebu niambie ni yapi kafiri Lissu amewahi kutetea waislamu katika matatizo waliyonayo waislamu hadi umwite muadilifu?

Wazee wetu nao walimkumbatia Nyerere ila kiko wapi sasa hivi?halafu wewe huyu mwanasiasa Lissu unamwita muadilifu et wa kutegemea kupata haki kupitia yeye?
 
Kwamba teuzi ni za upendeleo ?ni kweli Samia Suluhu (Makamu) ,Majaliwa Kasim(waziri Mkuu) ,Suleman Jafo(tamisemi) ,Mwinyi (ulinzi) hao wote ni Wakristo inauma sana yani tena ngazi za juu kabisa hata Jaji Mkuu wa Tanzania ni Mkristo hapa Lazima tutupe Lawama kwa Raisi John Magufuli maana walifungwa kwenye Utawala wake walitolewa Bara wakapelekwa Visiwani nakufungwa tunataka mapadre wetu waachiwe maana hata Raisi Mstaafu alikuwa Mkristo,mwaka huu tunatembea na Haki hatutaki Amani.
Mwnye akili anaelewa Libya haina Amani haki gani waliyonayo zaidi ya machafuko.

Mimi nitatembea na JPM
We umewaona hao tu?
Sasa unajua ukitoa hao wanabaki wangapi?
 
kupingwa na kulaaniwa ndani na nje ya nchi. Nanukuu maneno ya Gavana yule wa Kenya, "utawala wa Maguguli umekuwa aibu kwa Afrika nzima".
Utawala wa nani haujawahi kulaaniwa: Mkapa=zanzibar, ubinafsishaji; JK--- vasco dagama, deportation of twandees; labda malaika
 
Unaangalia kwenye Cabinet tu si ndiyo? Angalia wateule wote utakuta ratio ya Waislamu kwa Wakristo ni 20/80
Unauhakika orodha yangu ni cabinet tu!?

Soma vizuri tafadhali
 
Naona unaona shida kutamka kuwa Lissu ni kafiri,sasa hebu niambie ni yapi kafiri Lissu amewahi kutetea waislamu katika matatizo waliyonayo waislamu hadi umwite muadilifu?

Wazee wetu nao walimkumbatia Nyerere ila kiko wapi sasa hivi?halafu wewe huyu mwanasiasa Lissu unamwita muadilifu et wa kutegemea kupata haki kupitia yeye?

..uchaguzi ni kati ya Lissu na Magufuli.

..kati ya hao wawili Sheikh Ponda ameona Lissu ndio muadilifu.

..Sheikh Ponda ameona linapokuja suala la HAKI, Lissu atasimamia haki za kila Mtanzania.

..Magufuli ameshajionyesha ktk miaka yake mitano kwamba ni mtu asiyeheshimu haki, na asiyetaka kufuata sheria.
 
Mkuu Sasa waislamu nao wana haki ya kuchagua mgombea wanaomtaka na chama wanachokitaka,2010 aliwaambia waislamu wampigie kura Kikwete ila hakuna walichopata waislamu na sasa huyo huyo Ponda anatuambia tumpigie Lissu. Huyu Ponda anawatumia tu waislamu kwa manufaa anayoyajua mwenyewe.
 
We umewaona hao tu?
Sasa unajua ukitoa hao wanabaki wangapi?
Lete wewe uliowaona ,mimi nimesema wote hao ni sehemu nyeti kuwa Waziri wa Ulinzi unafikiri ni kazi ndogo.
Ofisi ya Raisi Tamisemi nani yupo ,hiyo ofisi unadhani ni ndogo.
Waziri Mkuu ni mdogo kwa maarifa yako sio .
Makamu unamchukulia poa .
Mhimili wa Mahakama Jaji mkuu nae ni walewale kwa akili zako.
Nyinyi mnaumia kwasababu Spika ni Job wa Bible na kuna mbunge ana akili timamu aliwahi kusema wanahitaji Spika muislam nadhani unamjua hivyo hili sio geni.
CAG imewauma pia ,najua ninafahamu Kuna Shia na Hamadiya kelele zenu hazitaisha mnapenda sana kupigania mambo ya kimwili na kidunia kuliko kuutafuta utukufu wa Mungu.
 
Back
Top Bottom