Hili la soko la Karume liwe funzo kwa aina ya viongozi tunaowapa madaraka.....

Hili la soko la Karume liwe funzo kwa aina ya viongozi tunaowapa madaraka.....

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Kuna stahili nyngi za uongozi hasa pale unapokuwa unakabiliana na kundi fulani la watu...Hii stahili ya kuwaondoa wamachinga kwa stahili iliyotumika soko la Karume haikuwa ya akili...sasa angalia jinsi "mlivyolamba matapishi yenu." mnaleta na siasa ndani yake...
 
Ilikuwa vyema kutoruhusu ujenzi wowote kwa machinga na kufanya yafuatayo

1. kupasawazisha pote kwa kuweka kifusi na kupashindilia vizuri
2. kuweka mitaro ya maji machafu na hata mifumo ya maji masafi
3. kugawa vizimba/plots na kuweka barabara ka walivyo weka kwa sasa
4. kuwaandikisha wote na kuanza kuwatambua ktk mfumo wa kodiii 🤣
5.
 
Back
Top Bottom