sandpiper
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 209
- 186
Kwamba SA ni wavivu hizo ni propoganda za mabeberu tu na wengi wanaamini , kuhalalisha ubaguzi wao kwa wazawa kwenye ajira.SA kulikua na wazawa wavivu na wabinafsi wanaobagua Waafrica wenzao! Hawakua tayari kufanya kazi ngumu kwa bei rahisi, lakini wahamiaji walikua tayari!
Lakini kinachogomba hapa ni aina gani ya hizo sheria za kazi za wahamiaji! Unaweza kutetea wazawa sana, kama tu hauna kampuni na hulazimiki kuajiri au kufanya kazi na wahamiaji!
Huku kwetu Wageni wanalipana mishahara mikubwa huku kazi zenyewe wazawa ndio wanafanya huku wakitumia bank account za nje kukwepa makato kama PAYE na NSSF.