Ni kweli sizijui sana hizo International politics, kama unavosema, na kuna mambo ambayo hujui pia, ni ubinadamu wa kawaida! Lakini ujue tu kwamba nimewahi kuwa mhamiaji USA na Norway, na sasa hivi Nipo office ya uhamiaji ya mkoa, nafuatialia vibali vya kazi vya watenda kazi wenzangu kutoka nje ya Tz, bwana August !
So does your statement make any sense of real what U what to explain to the wide world Bwana Uhamiaji.
Those who are working with U have followed the rules and regulations either being an investor himself or herself , or staff/ workers who have a special expertise, which most Tz they don't have or we can say there is a scarcity of such expertise.
Australia or Canada they point base system of immigration, all this have been created to manage immigration and the net effect of the immigration should have a positive effect on economy.
USA na hizo green card is nearly the same .
Lakini hapa Tz especially watu wa Bara la Asia wao watataka kuleta every one from their place , with the aim of undermining the locals , or creating an opportunity to their fellows , kwa western countries wao wanatumia those opportunity to transfer most of the profit , via mngt fees, , under declaration of sales, over pricing of their goods and services etc. So U should understand this ndio utaelewa kwanini watu wana sita kukubali hali hiyo.
Na for e.g. Mwl asinge manage umiliki wa Ardhi, sijui hali ingekuwaje. Sasa hivi vitu vinafanyika katika muktada wa kukuza uchumi, kuongeza ufanisi, social interaction, kulinda uhuru na uchumi wa Nchi.